amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujumbe huu uwafikie;
Cheupe wangu Nifah
Heaven Sent
wiser1
Problem solved [emoji4]
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujumbe huu uwafikie;
Cheupe wangu Nifah
Heaven Sent
wiser1
Problem solved [emoji4]
Go straight to the point bwana nilishakwambia hizi siasa zako sizitaki.....[emoji1] [emoji125]Hahaaaaa! Ushaanza mbwembwe zako sasa? You are missed
Ok cheusi nimekuwachaaaaaHaha em niwache cheusi wa mtu bana
Eti nini? Umesahau ile siku nilikuambia nini eeeeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujumbe huu uwafikie;
Cheupe wangu Nifah
Heaven Sent
wiser1
Problem solved [emoji4]
Haha sisi ni wakazi wa kudumu wa kuleUwe unakuwepo na huku mkuu! Manake kuna yale majukwaa yenu na Nifah.. mnashinda mule mule..
[emoji8] [emoji8] [emoji8] Asante kwa kuujali moyo wangu twin [emoji4] [emoji120]
Kwani mkuu nimewahi kukukosea nini jamani?kwani mkuu the bold dini yako si inaruhusu kuoa wanne, hebu chukua wote hao yaani nifah, wiser1 na heaven sent ili kuondoa migogoro hii jamani. halafu kufanya hivyo ni sunna.
Hahahaa! Tuseme ninyi ni in-born!Haha sisi ni wakazi wa kudumu wa kule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenimiss?Sipendi mtu anayezunguka zunguka......lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeoga msala wa cheupe maana kama nakuona ukiwa MOI na mguu wako uliovunjwa juu ya kitanda
Naona Massawe anataka The bold afanye sunna..!Kwani mkuu nimewahi kukukosea nini jamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sio kwa ushauri huu wa kuniangamiza.
Nakuja Pm asali yangu...! Kama vile umemwaga maji kwenye acid..Go straight to the point bwana nilishakwambia hizi siasa zako sizitaki.....[emoji1] [emoji125]
Mkuu ww tupakulie tu hao wanajifanya walokole ndio wanaotongozana wao kwa wao kwayani. Poromosha vitu mkuu the bold along side miss NiffahTAHADHARI
Morning wakuu,
Leo jioni nitaweka hapa Episode 20 ya Simulizi yetu ya Vipepeo Weusi.. Ningependa nitoe angalizo kuhusu Episode hii..
Huko katika familia yetu ya WhatsApp Episode hii niliiweka maalumu kwa ajili ya Valentine (Valentine day special) hivyo basi Episode hii ina vipande vingi vya mambo ya "Kikubwa".!!
Kama hupendi kusoma vitu vya dizaini hiyo, nakushauri usisome Episode hii.. Subiri Episode 21.
Kutokana na content ya hii Episode itanipasa niiweke jioni..
Shukrani.!
Tafuta shemela uwe naye mkuu! Tena awe anakosemea yeye...[emoji23][emoji23]Mkuu ww tupakulie tu hao wanajifanya walokole ndio wanaotongozana wao kwa wao kwayani. Poromosha vitu mkuu the bold along side miss Niffah
Nataman ningekua na Cute J akawa ananisomea daaah nasubir siku hiyoTafuta shemela uwe naye mkuu! Tena awe anakosemea yeye...[emoji23][emoji23]
Cute J ama Cute B?Nataman ningekua na Cute J akawa ananisomea daaah nasubir siku hiyo
Namaanisha Joo mkuu nataman angekua ananisomea huku namtomasa gently. Nampenda hadi najionea wivuCute J ama Cute B?
Ushaanza mambo ya kutomasa mapema hii...Namaanisha Joo mkuu nataman angekua ananisomea huku namtomasa gently. Nampenda hadi najionea wivu