successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,084
- 6,155
Hahahaha unampenda mume wa mtuhapana simtafuti ubaya!....ni kwa nia njema "nimeshindwa kuficha hisia"
Hasa nikimuona Kichwa ktk ubora wake!
Hahahaha unampenda mume wa mtuhapana simtafuti ubaya!....ni kwa nia njema "nimeshindwa kuficha hisia"
Hasa nikimuona Kichwa ktk ubora wake!
Mume! uchungu wake anaujua Nifah tu!...mie ndo kwanzaa mbichii kwenye mambo hayaHahaha unaujua uchungu wa mume weye??
Nifah anakuhofia sana! nisaidie kumwambia NAMPENDA MUMEWE The bold[emoji8] [emoji7]Hahaha Le super twin, Imebidi tu nicheke. Aliyeturithisha hii "pride", nambariki sana. Kula raha mama
Btw nimepitwa mno na hii story, na imefika mbali uuuh
Ooooh!! Now I knowMume! uchungu wake anaujua Nifah tu!...mie ndo kwanzaa mbichii kwenye mambo haya
Twins hao, ngoja wakuweke mtu katiNifah anakuhofia sana! nisaidie kumwambia NAMPENDA MUMEWE The bold[emoji8] [emoji7]
Nope ni kawaida tu kwetu, especially when you have an ideal man like him. So far inakufanya uwe na uhakika na uwe proud zaidi kwamba you made a perfect choice. Afu uzuri ni kwamba we know our worth and we know our places, so huwa tunarelax tu koh koh[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Haha kumpenda mtu wala sio kosa hata, Ila si unajua moyo wa shem ulipo.Nifah anakuhofia sana! nisaidie kumwambia NAMPENDA MUMEWE The bold[emoji8] [emoji7]
Kama naliona likichwa la The bold lilivyovimba hahahaNope ni kawaida tu kwetu, especially when you have an ideal man like him. So far inakufanya uwe na uhakika na uwe proud kwamba you made a perfect choice. Afu uzuri ni kwamba we know our worth and we know our places, so huwa tunarelax tu koh koh (kidding lol)
Nope ni kawaida tu kwetu, especially when you have an ideal man like him. So far inakufanya uwe na uhakika na uwe proud zaidi kwamba you made a perfect choice. Afu uzuri ni kwamba we know our worth and we know our places, so huwa tunarelax tu koh koh[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Raha nazila na karibia nitawaaga vimbaumbau wenzangu twin,jamani The bold ananipenda hadi nanenepa kwa raha.Hahaha Le super twin, Imebidi tu nicheke. Aliyeturithisha hii "pride", nambariki sana. Kula raha mama
Btw nimepitwa mno na hii story, na imefika mbali uuuh
My dear...jokes aside,nakuelewa sana.Ha ha ha ha ha haaaaa!..........ngoja tuone km ney ney kweli ama maneno tu
Ooh no vimbaumbau tunapungua jamani lol. Kale raha mama, halafu vikiwa vya halali ndo vinanoga zamani. Wapambe tusikose hahaRaha nazila na karibia nitawaaga vimbaumbau wenzangu twin,jamani The bold ananipenda hadi nanenepa kwa raha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha tu nipate ushindani,sishangai coz I got le super man u know.
hahaha
Haha usinivimbishe bichwa twinLe super twinito...uwiiiiiii umemaliza yote mama.
Niseme nini? Wewe ndio kiboko yangu eti?
Maana nilivyo ndivyo ulivyo! [emoji4] [emoji119]
Haha Mbona ameshazoea hizo sifa jamaniKama naliona likichwa la The bold lilivyovimba hahaha
He is the luckiest man kwakweli, we mtoto nakuelewaga sanaRaha nazila na karibia nitawaaga vimbaumbau wenzangu twin,jamani The bold ananipenda hadi nanenepa kwa raha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha tu nipate ushindani,sishangai coz I got le super man u know.
hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] In Shaa Allah mpenzi,unaanzaje kukosa sasa?Ooh no vimbaumbau tunapungua jamani lol. Kale raha mama, halafu vikiwa vya halali ndo vinanoga zamani. Wapambe tusikose haha
Wallah twin.Haha usinivimbishe bichwa twin
[emoji4] Thank youuuuuu.He is the luckiest man kwakweli, we mtoto nakuelewaga sana
Jamani, you seem to think very highly of your twin and you always honor her ; this means a lot to me. I truly appreciate swts. Super thanks [emoji120] [emoji120] [emoji120]Wallah twin.
Tena ngoja nikumegee siri,hili jambo niliwahi kumuambia The bold that "Kama nisingekuwa mimi basi angefaa Heaven Sent" usidhani leo nimesema tu,noooope ni jambo la kweli na nilishalisema kwa muhusika kitamboooo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You deserve it twin [emoji119] [emoji8]