Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Ninalo tayari mkuu!
Para ya nne kutoka mwisho inamtaja Mkapa kama moja ya successor watarajiwa, na kweli alikuja akawa Rais.
Para ya pili kutoka mwisho inazungumzia jinsi ambavyo CIA wali - underestimate uwezo wa Mwl Nyerere kuiendesha nchi kwa kutumia remote, walidhani atafanya hivyo kwa miaka miwili ya mwanzo tu, cha kushangaza mpaka Mwinyi anaondoka madarakani bado Nyerere alikuwa mbele kwenye kusababisha maamuzi.
Mkapa akaja, na kwa kuwa jamaa walisha mweka kwenye moja ya expected successor, ni ukweli kwamba watakuwa walishampa mipango yao, watakuwa walishakaa meza moja kujadili jinsi ya kuhakikisha Mwl hawi pingamizi kwenye maamuzi ya kuhama kutoka kui-favor China na kurudi US.
Hivi Barick ameingia Tz msimu upi?
Naogopa kusema kwamba hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza influence ya Mwl zaidi ya kilichofanyika, sote tunajua.
RIP Mwl.
cc sunola