Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Kwan c kweli,hata ww mume suruali tu weiiii taabu hzi
Sijafundishwa jandoni ugomvi na mkeo kuupeleka barazani, please njoo chumbani nipige hata makofi naapa sitokurudishia ila sie huku majirani wabaya mama, njoo tuongee alafu The bold mbaya sana anabalance yangu huko kibao tu nia yangu nilipie hadi june, ngoja nimwambie akate jina langu akuweke ww,
Ila njoo chumbani,
 
Ww ndo unataka
 
Du itabidi tusubilie kitabu tu kwa mwendo wa mangu wajomba tayali wamesha wahi whatapp misiamini group hizi kwanza nilisha jitoa zote adi zaki family nyie nendeni wacha tuendeleze alakati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom