Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Dah sijataka ku comment chochote tangu Nimeanza kufuatilia hii simulizi lakini sasa nasema, kitu kimetulia Sana ila kuna angalizo story hadithi na simulizi humu zinakuwaga na mwishio wa kimyakimya bila kuaga cha msingi naomba kujua kama haitaenda mpaka mwisho naomba kujuzwa ili niache kufuatilia kuanzia sasa maana sioni faida ya kula chakula utamu lakini nisishibe hii sio Sawa

Tafadhali soma pale juu kabisa post # 1 kuna kichwa cha habari chenye rangi nyekundu..

Whatsapp your number to 0718 096 811

Ila hakikisha umesoma hayo maelezo kabla ya kunitumia namba yako ili kusiwe na shida ya kukupatia tena maelezo ambayo nimeshayatoa tayari..

Asante!
 
Hizi mbio zimewatoa watu ndimi nje.

Check hapa.

Transcend

Johnson
 

Attachments

  • images (3)_1.jpg
    images (3)_1.jpg
    7.4 KB · Views: 99
  • images (4)_1.jpg
    images (4)_1.jpg
    6.5 KB · Views: 99

Similar Discussions

Back
Top Bottom