Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #2,121
Safi sana tumepata wife material aisee,lkn siku nyingne umtoe out asije anza kuzeeka mapema kisa kukupikia
Kila weekend.. tumejiwekea kijisheria kila weekend tuna dinner date!!
Si unajua kaka yako nilivyo romantic!? Wifi yako anakuwa katoto kila kukicha, hata la sita B anaweza kuanza..