Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

(in jaji lubuva's voice)

Ndugu wanabodi, mpaka sasa inaonyesha umoja wa vyama vya upinzani UKAWA (Transcend, fakalava, Mkoroshokigoli) wanaelekea kukitoa madarakani chama tawala (johnsonmgaya) kilichotawala kwa miaka lukuki toka thread hii iko page ya 3 na mpaka sasa inasoma 2K lakini chama hiki tawala hakijaondoa kero ya "Utamu" inayomkabili nchi yetu hii pendwa (Clkey)

Nitatangaza matokeo rasmi hapo baadae.. Kuna BVR zimeharibika
Mkuu unakumbuka hiyo barua!!

Tarehe 21 january 2017 itakuwa inatimiza mwaka mmoja toka iandikwe na mambo yawe kama yalivyo sasa hivi..

Naomba Jmosi tarehe 21 ndo utangaze ushindi wa haki kupinga mambo kama yaha [emoji23][emoji23][emoji23]

45055c18567f7d6fce192a54e8c5c400.jpg

Cc:
Wagombea wote:
Mgombewa
 
Hhaahahha wacha wapige kelele nitashinda hata kwa bao la mkono! nina majeshi nina tume huru ya uchaguzi nahofia nini, hao mabwege na malofa hawanitishi kwa lolote hii nchi ishatawaliwa na utamu kila pahala(in ben mkapa's voice)
Kazana basi mai dear maana ukishindwa mm ntaenda tu hakuna namna nyingne
 
(in jaji lubuva's voice)

Ndugu wanabodi, mpaka sasa inaonyesha umoja wa vyama vya upinzani UKAWA (Transcend, fakalava, Mkoroshokigoli) wanaelekea kukitoa madarakani chama tawala (johnsonmgaya) kilichotawala kwa miaka lukuki toka thread hii iko page ya 3 na mpaka sasa inasoma 2K lakini chama hiki tawala hakijaondoa kero ya "Utamu" inayomkabili nchi yetu hii pendwa (Clkey)

Nitatangaza matokeo rasmi hapo baadae.. Kuna BVR zimeharibika
Yaani una vituko ww hapana aisee, halaf leo sijamuona wifi yangu
 
Mkuu unakumbuka hiyo barua!!

Tarehe 21 january 2017 itakuwa inatimiza mwaka mmoja toka iandikwe na mambo yawe kama yalivyo sasa hivi..

Naomba Jmosi tarehe 21 ndo utangaze ushindi wa haki kupinga mambo kama yaha [emoji23][emoji23][emoji23]

45055c18567f7d6fce192a54e8c5c400.jpg

Cc:
Wagombea wote:
Mgombewa
Transcend nionee huruma sina mbavu mwenzenu nmeshacheka sanaa aisee
 
Wifi yako amekuwa msweet sana siku hizi.. Yani hataki kusikia nakula restaurant ni mwendo wa kunipikia asubuhi, mchana, jioni..

Yuko jikoni sahizi, ila karibu anamaliza utamuona hapa mda si mrefu
Safi sana tumepata wife material aisee,lkn siku nyingne umtoe out asije anza kuzeeka mapema kisa kukupikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom