johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Tembo hawezi battle na sisimizi mkuu,Do you wanna battle with me?
Tembo hawezi battle na sisimizi mkuu,Do you wanna battle with me?
Uzuri nitafungwa VIPs so kila weekend unakuja kuchezea tu [emoji23] [emoji23]Akipotea utafungwa halaf mm napata wapi bolo yanki?
Sasa ngoja sisimizi waingia kwenye mkonga! Mwisho utasuffocateTembo hawezi battle na sisimizi mkuu,
Nafurahi kama unajua kuwa mmeniweka mtu kati ila tu nikufamishe mimi ni sterling wa kihindi napiga kijiji kizima then nasepa na wifeNadhani mungu hakunipa mshipa wa woga, mantiki yangu ni kwa Johnson, kwa sasa anakabwa pande 3, mpaka sasa naongoza kwa point. Clkey, will you be my wifey?
Napenga hewa tu wanakufaSasa ngoja sisimizi waingia kwenye mkonga! Mwisho utasuffocate
Muulize the bold mambo ya Tony mla bata..! [emoji23][emoji23][emoji23] ...Tembo hawezi battle na sisimizi mkuu,
Dizaini kama anakuogopaKeshasepa nini? Naona kapotea yeye
Yes, im gonna beNadhani mungu hakunipa mshipa wa woga, mantiki yangu ni kwa Johnson, kwa sasa anakabwa pande 3, mpaka sasa naongoza kwa point. Clkey, will you be my wifey?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kina nan ss c umalizie na wwWewe huo uchungu wa sekunde 2 unaogopa nini...!
Kina flani wangeogopa uchungu kina nani wasingekuwepo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Tafadhari bwana Lubavu😛😛 matokeo yasomwe kama yalivyoletwa, yasipitie kitengo.(in jaji lubuva's voice)
Ndugu wanabodi, mpaka sasa inaonyesha umoja wa vyama vya upinzani UKAWA (Transcend, fakalava, Mkoroshokigoli) wanaelekea kukitoa madarakani chama tawala (johnsonmgaya) kilichotawala kwa miaka lukuki toka thread hii iko page ya 3 na mpaka sasa inasoma 2K lakini chama hiki tawala hakijaondoa kero ya "Utamu" inayomkabili nchi yetu hii pendwa (Clkey)
Nitatangaza matokeo rasmi hapo baadae.. Kuna BVR zimeharibika
Tafadhari bwana Lubavu😛😛 matokeo yasomwe kama yalivyoletwa, yasipitie kitengo.
Hhaahahha wacha wapige kelele nitashinda hata kwa bao la mkono! nina majeshi nina tume huru ya uchaguzi nahofia nini, hao mabwege na malofa hawanitishi kwa lolote hii nchi ishatawaliwa na utamu kila pahala(in ben mkapa's voice)(in jaji lubuva's voice)
Ndugu wanabodi, mpaka sasa inaonyesha umoja wa vyama vya upinzani UKAWA (Transcend, fakalava, Mkoroshokigoli) wanaelekea kukitoa madarakani chama tawala (johnsonmgaya) kilichotawala kwa miaka lukuki toka thread hii iko page ya 3 na mpaka sasa inasoma 2K lakini chama hiki tawala hakijaondoa kero ya "Utamu" inayomkabili nchi yetu hii pendwa (Clkey)
Nitatangaza matokeo rasmi hapo baadae.. Kuna BVR zimeharibika
[emoji122][emoji122][emoji122]Bravo mkuu nunua Heineken bili juu yanguUkawa mna kura nyingi sana ila mmekuwa na fujo nyingi baada ya Episode 7 kutoka..
Tutajitahidi tutende haki ila tutazingatia amani ya nchi idumu..
Yesu wangu khaaa nmekijuta nacheka kwa sauti jaman maana si kwa vituko hiviUkawa mna kura nyingi sana ila mmekuwa na fujo nyingi baada ya Episode 7 kutoka..
Tutajitahidi tutende haki ila tutazingatia amani ya nchi idumu..
Unapenda kumtania Fakalava...[emoji41][emoji41]Yes, im gonna be
Mkuu ngoja nimchukue Grace wangu...!(in jaji lubuva's voice)
Ndugu wanabodi, mpaka sasa inaonyesha umoja wa vyama vya upinzani UKAWA (Transcend, fakalava, Mkoroshokigoli) wanaelekea kukitoa madarakani chama tawala (johnsonmgaya) kilichotawala kwa miaka lukuki toka thread hii iko page ya 3 na mpaka sasa inasoma 2K lakini chama hiki tawala hakijaondoa kero ya "Utamu" inayomkabili nchi yetu hii pendwa (Clkey)
Nitatangaza matokeo rasmi hapo baadae.. Kuna BVR zimeharibika
Mkuu ufalme wako unaendelea kuyeyuka..[emoji122][emoji122][emoji122]Bravo mkuu nunua Heineken bili juu yangu