Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
Ila huwa nawahi kununa uwe unanitania kidgo kidgoMkuu, binafsi napenda kutaniwa, pia napenda kutania.
Hapana chezea utamu km wa CheupeWewe wachuze wenzako wajaribu kweli mtashangaa kesho hapa ametuma mtu kuja kuanzisha uzi kuomba wadhamini wakamtoe korokoroni.. Hahahahahaha
Kwajinsi nilivyohaso mpaka huyo malkia amekaa tunduni... Mtu akileta utani ataenda kuwa cell mate wa Ray.!!?
Tunatia na vikorombwezo vingne ila mboga iwe tamuKamchombezo si huu uchaguzi wa meya wa jiji la clkey...
Au hakatoshi?
Exactly Mkuu, we are friends hakuna haja ya kununiana. Ila mtanange unaonyesha naongoza.Thats life brooh! Jokes zinaongeza siku za kuishi..![]()
![]()
![]()
Hahahah umewaacha mbali sanaExactly Mkuu, we are friends hakuna haja ya kununiana. Ila mtanange unaonyesha naingoiza.
Jamaniii yani mimi ndo wa kutolewa mfano wa wenye wivu

Usijali ma sweet nitafanya hivyo.Ila huwa nawahi kununa uwe unanitania kidgo kidgo
Consider it's done shemela, ondoa shaka.Shemela Nifah nimekuja kwako kuomba tag as per advice above.Kindly do the needfull
cc The Bold
Duuh wanawake nanwenyewe wanabakaga??Waweza baka kama uko jirani na mwanamme
Ukizidiwa unadhan utafanyaje,c utamrembulia vimacho kdgo basi ataelewa (Joking)Duuh wanawake nanwenyewe wanabakaga??
(in jaji lubuva's voice)
Ndugu wanabodi, mpaka sasa inaonyesha umoja wa vyama vya upinzani UKAWA (Transcend, fakalava, Mkoroshokigoli) wanaelekea kukitoa madarakani chama tawala (johnsonmgaya) kilichotawala kwa miaka lukuki toka thread hii iko page ya 3 na mpaka sasa inasoma 2K lakini chama hiki tawala hakijaondoa kero ya "Utamu" inayomkabili nchi yetu hii pendwa (Clkey)
Nitatangaza matokeo rasmi hapo baadae.. Kuna BVR zimeharibika
baby you crazy nimecheka mnoooooo!Hayo maneno ma swt darlUsijali ma sweet nitafanya hivyo.
Jamaniii yani mimi ndo wa kutolewa mfano wa wenye wivu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dada yetu uko vizuri pande hizo, ndo maana nataka uwe role modal wa ClkeyHahahaha wifi wivu una raha yake bwanaJamaniii yani mimi ndo wa kutolewa mfano wa wenye wivu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja niachie hapo nisiujaze video uzi wa The Bold.

Sasa hapo ni kubaka??Ukizidiwa unadhan utafanyaje,c utamrembulia vimacho kdgo basi ataelewa (Joking)
Hunizidi mimi,nimecheka sana.Yesu wangu khaaa nmekijuta nacheka kwa sauti jaman maana si kwa vituko hivi