Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Usiogope!! Meno yangu nitayapaka asali...Bt im afraid shemejitooo
You will only feel sweetness!
Usiogope!! Meno yangu nitayapaka asali...Bt im afraid shemejitooo
Hahaha hahahaha utamu pekee na uchungu jeUsiogope!! Meno yangu nitayapaka asali...
You will only feel sweetness!
Hakuna uchungu ! Watu huwa wanakosea kusema upo uchungu...!Hahaha hahahaha utamu pekee na uchungu je
Acha maskhara ww, nitaacha usia upotee mazima, usilete utani na wanaboard shauri yakoYuko Pm huku now...niscreen shoot japo text 2 ?
Naona kama vyama pinzani vinaunda UKAWA, mimi nishasema "ni mshereheshaji tu".Acha maskhara ww, nitaacha usia upotee mazima, usilete utani na wanaboard shauri yako
Do you wanna battle with me?Acha maskhara ww, nitaacha usia upotee mazima, usilete utani na wanaboard shauri yako
Kumbe na ww muoga aisee haya nenda zakoNaona kama vyama pinzani vinaunda UKAWA, mimi nishasema "ni mshereheshaji tu".
Shikamoo Mc ! [emoji41][emoji41][emoji41]Naona kama vyama pinzani vinaunda UKAWA, mimi nishasema "ni mshereheshaji tu".
Akipotea utafungwa halaf mm napata wapi bolo yanki?Acha maskhara ww, nitaacha usia upotee mazima, usilete utani na wanaboard shauri yako
Kila penye utamu na uchungu upoHakuna uchungu ! Watu huwa wanakosea kusema upo uchungu...!
Hili jambo la uchungu la kukemea sana...!
Ss hapo mie sipo shauri zenuDo you wanna battle with me?
Agiza kopo la poporcon afu uangalie..Ss hapo mie sipo shauri zenu
Uchungu mfupi kuliko utamu!Kila penye utamu na uchungu upo
Hilo neno ss, wacha nikunje na 4 kabisaa nione nani atakuwa mwanammeAgiza kopo la poporcon afu uangalie..
Then pick the survivor!! [emoji28][emoji28][emoji28]
Beer chungu mwanzo mwishoUchungu mfupi kuliko utamu!
Mfano:wine..au beer
Chungu kwenye ulimu tuu..ikifika kwenye koo ni flavour tayari
Keshasepa nini? Naona kapotea yeyeHilo neno ss, wacha nikunje na 4 kabisaa nione nani atakuwa mwanamme
Nadhani mungu hakunipa mshipa wa woga, mantiki yangu ni kwa Johnson, kwa sasa anakabwa pande 3, mpaka sasa naongoza kwa point. Clkey, will you be my wifey?Kumbe na ww muoga aisee haya nenda zako
Wewe huo uchungu wa sekunde 2 unaogopa nini...!Beer chungu mwanzo mwisho