Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hahahaha hivi ticha upogo....mic you sana......utamu kolea watu wanakuaga wakali sana uki quote uzi mrefu lakini kwa hiyo episode naona kuna wanaorudia hadi jtano hahaha hii kali
HAHAHAHHAHHAHA nipo kipenzi The bold kawatenda watu kitendo si cha kiungwana!
hii episode hawachelewi kuiquote hata kwenye episode ya 13,
members wana mana?
 
Ahaa cjui hata ni maruweruwe cjui nn nisamehe bure nahesabu vice versa co bure nadhani
Hahahahahaha itakuwa unairudia rudia sana Episode 7 alafu nahisi kama johnsonmgaya ajatoa punch za maana za dona sato hahahahah

Wewe Johnson hebu acha utani, kwanini unamuacha Clkey awe na maluwe luwe, Kama huwezi mambo tutaanza kumpigia debe fakalava
 
Hahahaha hyo sehem sichoki aisee huko mwisho mwisho kwa bolo yanki hahaha lol nikipata kahamu kakusoma tu narudia narudiaaaaaa weeeee
Nawe noma sana aisee
Halaf una akili sana ww nipigie tu ndogo ndogo kwa jirani ila Johnson akijua hatuna bahat mwenyewe hakawii kujinyoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom