Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Wakuu,

Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..

Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;

1. Waziri - Mhe. Charles Wangwe

2. Mwanachama wa The Board aliyekuwa mbunge na kujiuzuru miaka michache iliyopita - Khalid Mohammed

3. Askofu mwanachama wa The Board - Askofu Eliyah Kamei

4. Kampuni ya Utafutaji mafuta Morogoro - Quebec Energy.

Kwahiyo, kuanzia Episode hii ya 5 ambayo nimeiweka tayari nimebadilisha majina ya wahusika hao na na episode zote zinazofuata wahusika hao watafahamika kama inavyoonekana hapo juu..

Samahani kwa usumbufu!

Shukarani..
Mkuu huoni kuwa utatuchanganya?
 
Mkuu huoni kuwa utatuchanganya?
Hayo majina yaliyobadilishwa yalitokea kwenye Episode moja pekee tena paragraph moja tu... majina mengine yote yamebaki vile vile..

Na kama haukuisoma hiyo episode siku ile ile ilipptoka huwezi kuona changes zozote coz nilifanya hayo mabadiliko haraka sana mara tu baada ya kiweka hiyo episode..

So, NO sijawachanganya..
 
Hahahahahaha itakuwa unairudia rudia sana Episode 7 alafu nahisi kama johnsonmgaya ajatoa punch za maana za dona sato hahahahah

Wewe Johnson hebu acha utani, kwanini unamuacha Clkey awe na maluwe luwe, Kama huwezi mambo tutaanza kumpigia debe fakalava
Mkuu The bold, kumbe umeliona hili? Nimeshagundua kuwa ,Clkey kuna mambo anayakoisa kwa uvivu wa johnsonmgaya. Ndiyo maana namtaka &Clkey nimpe punch za Bolo, nimpe punch za juu, chini, za mashavuni hasa pembeni baada ya hapo lazima nami niitwe kichwa.
 
Hahahahahah.! Clkey akisoma hapa ndio atazidi kuchanganyikiwa na kuona maluwe luwe..

johnsonmgaya ukiamka hebu kimbia uje huku, nishaona dalili za watu kukudediketia wimbo wa manfongo..
 
Hayo majina yaliyobadilishwa yalitokea kwenye Episode moja pekee tena paragraph moja tu... majina mengine yote yamebaki vile vile..

Na kama haukuisoma hiyo episode siku ile ile ilipptoka huwezi kuona changes zozote coz nilifanya hayo mabadiliko haraka sana mara tu baada ya kiweka hiyo episode..

So, NO sijawachanganya..
Mm najisomeaga tu hayo hata sielewag Nimewakariri Ray,baba Bite na Cheupe hao wengne hata wakijichanganya shauri yao
Ahaa nmewasahau na wale jamaa wala bata pamoja na Isack
 
The Bold kuna kastory kamoja hv nlikakuta kwa group moja hv whatsap ckukatilia maanani waweza tafuta au sijui unakafaham
Ka jamaa mmja hv alikuwa jambazi anayekaribia kutoka Gerezani - Marekani
Anaitwa Carl Gugasian maarufu kama "The Friday Night Bank Robber"
Ss nilikuwa busy nkajisahau nkakafuta
Nkasema anyway wacha nkucheki
Sijui ka kweli siju kauwongo ww nisaidie tu
 
Hahahahahaha itakuwa unairudia rudia sana Episode 7 alafu nahisi kama johnsonmgaya ajatoa punch za maana za dona sato hahahahah

Wewe Johnson hebu acha utani, kwanini unamuacha Clkey awe na maluwe luwe, Kama huwezi mambo tutaanza kumpigia debe fakalava
Anatafuta sifa huyo, hana lolote jana kalala tepe tepe kavimba kila mahali, macho yamemvimba kama kafiwa na baba mzazi naona anafurahisha jamvi tu
 
Hahahahahah.! Clkey akisoma hapa ndio atazidi kuchanganyikiwa na kuona maluwe luwe..

johnsonmgaya ukiamka hebu kimbia uje huku, nishaona dalili za watu kukudediketia wimbo wa manfongo..
Mbaya namba moja ni ww mkuu we si wakunirushia ndege wangu hvo, you planed this bro,
Enewei kuna karata niliiificha kwa ajili yake acha niitumie sasa tuone kama mtampa tena hayo maluwe luwe
 
The Bold kuna kastory kamoja hv nlikakuta kwa group moja hv whatsap ckukatilia maanani waweza tafuta au sijui unakafaham
Ka jamaa mmja hv alikuwa jambazi anayekaribia kutoka Gerezani - Marekani
Anaitwa Carl Gugasian maarufu kama "The Friday Night Bank Robber"
Ss nilikuwa busy nkajisahau nkakafuta
Nkasema anyway wacha nkucheki
Sijui ka kweli siju kauwongo ww nisaidie tu
Kwanini usiniombe mimi?
 
Duuuuuuuuuhh

Mimi ndiye niliyoandika hiyo stori sema watu wanachukuaga humu nyuzi alafu wanazipeleka huko watsapp hawatoi credit kuwa mwandishi ni The Bold..

Nikujibu swali lako, Yes ni stori ya kweli na niliandika kwenye uzi wangu wa July 30, 2016 unaweza kuusoma hapa Historia ya kweli ya jambazi msomi na aliyefanikiwa zaidi katika azma yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom