fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
Noted, mambo mengine tutaongelea pm.Ayaaa ss utaua bendi ukisema zaid ya cheupe wa The Bold tutajikuta tunanyimwa hadithi
Sijui niseme love u too
Lkn mm hapana bwana ntaua bendi kwa Johnson
Noted, mambo mengine tutaongelea pm.Ayaaa ss utaua bendi ukisema zaid ya cheupe wa The Bold tutajikuta tunanyimwa hadithi
Sijui niseme love u too
Lkn mm hapana bwana ntaua bendi kwa Johnson
sema tu Love U too.Sijui niseme love u too
Lkn mm hapana bwana ntaua bendi kwa Johnson
Hii EPISODE INARUHUSIWA KUWA QUOTED HATA MARA SITA!Hahaaha we kichaa sana watu tupo kwenye madaladala utafanya turuke vituo![]()
![]()
![]()
Hhahha tatizo hali mbayaHii EPISODE INARUHUSIWA KUWA QUOTED HATA MARA SITA!
WE quote tu!
2 times, a day
Mpk j5
Na zote utakuta likes, mpya
Si kashakataa jombaa! nyie ndo mnalazimishaga mpewe busha bila sababu yyte ilesema tu Love U too.
Nawaona nawaona!
Bog up, soon utakuwa mtunzi na wewe, maana ukiwa mke wa mchungaji lazima baadhi ya vifungu vya bible uvijue.
you guys....teh Teh teh, hacha vitisho jombaa.Si kashakataa jombaa! nyie ndo mnalazimishaga mpewe busha bila sababu yyte ile

Hahahahahahaha.! Daaaahh nimecheka sana Mkuu.. Ila mkuu mimi naandika tu maamuzi ni ya Ray mwenyewe! Siwezi kucontrol anachokiwaza wala maamuzi yake.. And most difficult siwezi kubadili kilichotokea katika maisha yake (past yake) naandika vile ilivyo..Kwanini aende jela wkt amepata pa kuanzia,he has a chance to play both sides akapata anachokitaka,plus msaada wa isaac,the bold fikiria tena,ray ana alternative,hakuna haja ya kumpeleka jela,unless unataka kutunyima utamu wa Cheupe![]()
![]()
Tambua mwanafasihi (Mwandishi) anaweza hata kumuua au kumfufua MHUSIKAHahahahahahaha.! Daaaahh nimecheka sana Mkuu.. Ila mkuu mimi naandika tu maamuzi ni ya Ray mwenyewe! Siwezi kucontrol anachokiwaza wala maamuzi yake.. And most difficult siwezi kubadili kilichotokea katika maisha yake (past yake) naandika vile ilivyo..
Nafahamu.. Just enjoy the story without trying to influence what I should/shouldn't write and what should/shouldn't happen in the story.. Hiyo kazi muachie muandishi..Tambua mwanafasihi (Mwandishi) anaweza hata kumuua au kumfufua MHUSIKA
Yeah,but kwakua hii stori unaitoa hapa kwenye online platform opinions za wadau zinakupa picha how they feel the stori,yaani maendeleo ya sayansi na teknolojia yameifanya fasihi andishi kuwa kama fasihi simulizi due to the fact that hadhira inaweza kuwasiliama na mwandishi moja kwa moja.Ingekua umeitoa kwenye kitabu hizi comments tungekufa nazo.Naona kuna mambo tunapaswa kuyabadili kwenye fasihi andishi ya kisw kwa sasa sifa zake zinabadilika kwakweli.Nafahamu.. Just enjoy the story without trying to influence what I should/shouldn't write and what should/shouldn't happen in the story.. Hiyo kazi muachie muandishi..
Asante!
Kwa hiyo unaandika under the influence of the Holy GhostHahahahahahaha.! Daaaahh nimecheka sana Mkuu.. Ila mkuu mimi naandika tu maamuzi ni ya Ray mwenyewe! Siwezi kucontrol anachokiwaza wala maamuzi yake.. And most difficult siwezi kubadili kilichotokea katika maisha yake (past yake) naandika vile ilivyo..


Hahahahaha.!! Siamini kama kwa usingizi ule niliokuacha nao ati haukuendelea kulalalaAm watching you baby
You know me...![]()
Lazima nije kukuangalia unafanya nini huku hata kama nina usingizi kiasi ganiHahahahaha.!! Siamini kama kwa usingizi ule niliokuacha nao ati haukuendelea kulalala
.
Shemeji hiyo sentesi ya kwanza nikikujibu mwezi mzima huu jambazi kuu atanyimwa chance ya kumaliza hasira zake.! Kila ikifika mida pendwa ya jambazi kuu kuonyesha utemi nitakuwa najibiwa "nenda huko huko kwa shemeji yako uliye mjibu I love you too" hahahahahahaha
Hahahahahah!Lazima nije kukuangalia unafanya nini huku hata kama nina usingizi kiasi gani.
Shemeji hiyo sentesi ya kwanza nikikujibu mwezi mzima huu jambazi kuu atanyimwa chance ya kumaliza hasira zake.! Kila ikifika mida pendwa ya jambazi kuu kuonyesha utemi nitakuwa najibiwa "nenda huko huko kwa shemeji yako uliye mjibu I love you too" hahahahahahaha
ole wako...unanijua lakini
.
Hahahahahaha.! Nakujua mama..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ole wako...unanijua lakini
.