Nitest mimi!
Vipaji maalum ni fair statement msibadili maana kisa mlisoma Benjamin Mkapa au somewhere else pa kawaida though I have to admit ni fair zaidi kuita vipaji maalum kwa Advanced level coz wote mnajua Ilboru, Kibaha na Mzumbe top 10 ya Advanced ni lazima na ndio maana kuna mpango wa kufuta vipaji maalum O-level maana utakuta mtu kaongoza wilaya yao huko Sengerema vijijini akawa top wilayani akaletwa Ilboru au Mzumbe lakini in reality kwa hzohzo marks zake angekuwa mjini kama Dar acngetokelezea hata 100 bora! Lakini kwa Advanced level selection criteria ni more strict huna ABB, AAA, au sometymz BBB kwenye Combination yako huendi special school!.tofauti yetu na nyie ni kwamba kwetu input is low but output is outstanding, ila huko kwenu Cjui Feza cjui Marian input is high and the output is fair, and there is where brains matter!, tusiwe waongeaji tu huu mfumo wa Special schools upo nchi kibao tu duniani na selection criteria ni kama hizihizi za huku Tanzania, tusiwe so -ve coz labda once in our lifetime tulichagua Ilboru, Kibaha au Mzumbe halaf tukatoswa sababu ya Marks ndogo, acheni hizo penye ukweli wekeni ukweli msiongee mambo under personal influence!