Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,156
- 137,178
Jamani najua nitakuwa biased kwa kuwa nimebenefit na elimu ya "special school lakini naomba niseme yafuatayo:
1. Kwanza ni muhimu kufahamu concept ya special school imefutwa toka enzi za Mungai na hivyo matokeo ya sasa hayareflect notion ya special school za enzi zetu.
2. Neno shule za vipaji maalum ilikuwa ni wrong conception na ndio maana hata Nyani Ngabu anapata tabu. Neno sahihi la kiingereza ni kuwa hizi ni shule za Special Achievers. Zipo nyingi zinzofuata concept hii. Baadhi ya shule hizo ni Eton ya Uingereza, Kamuzu Academy ya Malawi na Kings College Budo ya Uganda.
Awesome. Naona pole pole sasa watu wataanza kuelewa.
3. Shule za Mzumbe na Ilboru ziliweza (bila kuwa na walimu bora wala vitabu vya ziada wala mazingira yaliyoboreshwa) kuwa kwenye top ten schools kwa zaidi ya miaka 10 kwa sababu ya kuwa na wanafunzi high achievers).
4. Product za hizi special schools (ambazo zilianzishwa miaka ya 1995) bado ziko mid level katika decision making hierachy za nchi yetu. Baada ya miaka 5 kuanzia sasa tutaanza kuwaona wakichukua nafasi za juu katika vyombo vya maamuzi serikalini, katika taasisi za serikali na kwenye mashirika ya umma na mashirika binafsi.
Unamaanisha hizi "special schools" zilianzishwa mwaka 1995?
5. Wanafunzi wa special school walikuwa na bahati ya kufaulu kwa pamoja. Nakumbuka kuna wakati wanafunzi wa Ilboru na Mzumbe walifaulu wote 150 kwa Ilboru na 132 kwa Mzumbe na kwenda vyuo vikuu vya Muhimbili na UDSM. (Hili likuwa consistent kwa zaidi ya miaka 10). Hili kundi kubwa litakapoanza kufanya maamuzi litakuwa very powerful kwa nchi yetu na ndio mtaona impact.
6. Nyani Ngabu hebu fanya research kidogo kuhusu alumni wa special schools hizi na mahali walipo na wapi watakuwa five yrs to come. (Akikumbushia na impact ya Tabora Boys wakati na baada ya kudai uhuru.
7. Sijafanya research ya kutosha na mimi ni mwanantaaluma kwa hiyo nimejitahidi nisiende kwenye specifics.
Okay, I'll do that but until then the jury is still out.