Viongozi waliobaki ukumbusho tu

wapi Lucas Selelii.............................................
 
Hizo ndo siasa za jembe na Nyundo! Kumbuka pia Mashishanga, Mangula n the like!
 
...WanaJF yuko wapi yule mpambanaji mbunge wazamani wa Nzega Lucas Selelii ambaye CCM walimchakachua kwenye kura za maoni kwa kusema kuwa amepoteza mvuto..................?
 
Wap prof. Ibra msabaha? Jaman hata hayo majina yameshaanza kusahaulika hapa in njini...
 
Ukienda kucheza vilabu vikubwa ujue unaweza kupoteza njia kbs, Lamwai alikuwa mtu wa kukumbukwa sn lkn alipoamua kurudi jalalani kwa mafisadi ndo mwisho wake, kwani kutetea ufisadi ni kazi ngumu sn. kama Shitambala atakapo potea namuahidi kuwa ndiyo mwisho wake kwani matope floods siyo sawa na water floods, ccm ni matope mazito lkn cdm ni bahari shwari floods zake hugharikishankwa haraka sn
 
Lucas Lumambo Seleli yuko kwao nzega anaendelea na biashara yake ya gesti na malori 2 aliyokopeshwa na NDC na hayo malori yametangazwa kwenye mahgazeti yatakamatwa kwakuwa hayajalipwa.Mara ya mwisho nilikutana nae arusha feb mwaka huu alikwenda kuwaangalia wanae wanasoma huko.
 
Back
Top Bottom