Je, Israel ya Leo ni ile ya Mussa?

Je, Israel ya Leo ni ile ya Mussa?

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
1,715
Reaction score
1,973
Habari wakuu

Leo nmemeona nishee kidogo kuhusiana na na hii nchi iliyoanzishwa kimipango na Wala sio taifa teule.
1. Nianze hapa kwanza kabla ya vita ya pili ya dunia hapakua na taifa islaeli hii ya Sasa naomba uwelewe hapo hii katafute kweny Raman zote za dunia ukipata nakupa zawad

2. Nchi za mashariki ya Kati zilikuwa chini ya utawala wa ottoman empire, Australia hungry pamoja German nchi iz zilishindwa katka vita ya kwanza ya dunia baada ya hapo England ikayashiria maeneo hayo yakiwa n pamoja Iran, Iraq, Palestine n.k

3. Mwaka 1889 lilianzishwa balaza wazayun dunian ambalo lengo kuu lilikuwa ni kutafuta maeneo Kwa ajili wazayun wapate eneo la kuishi maana walikuwa wanatengwa sana ulaya hasa ulaya ya mashariki nchi Ukraine, Finland, Rusia,Poland n.k

Baada ya vita ya pili ya dunia 1914-1918 kulianzishwa umoja wa mataifa jumuiya ya madola (UN)) nchi Tano zenye kura ya veto ambazo zilishinda vita hiyo ilikuwa urus,china,ufaransa,marekan,uingereza hizi nchi zinazoshughulikia usalama wa dunia na mipaka yote pamoja silaha dunian kote na kushughulikia migogoro ya dunia kwahyo wazayuni waliokuwa wanatengwa ulaya walipeleka ombi katka balaza ilo ili kutafutiwa pahala pa kukaa ili kuwa huru

4. Baraza la usalama la umoja wa mataifa lilipendekeza maeneo 2 Uganda na Palestine ambayo ilikuwa chin ya uingereza Uganda walikubali kuwapokea ila wazayun walikataa wakataka waende kuishi Palestine ambayo ipo chn ya uingereza

5. Mwaka 1948 wazayuni na waingerza waliomba kuwapeleka katka nchi ya Palestine baada ya pendekezo ilo kupita lilisainiwa mataifa yote 5 mpo hapo ya (UN) wazayun wakapewa maeneo ya kuishi sehemu kubwa ya ardhi hiyo ilikuwa inamilikiwa na uingereza pamoja Palestine hivyo Palestine walikubali kuwapokea wazayun ambao waliokuwa wanatengwa ulaya

6. Baada ya uingereza na Palestine kuwapa hifadhi wazayuni hao ndyo tatzo lilipo Anza la kupata islael ya Sasa na sio Ile ya kwenye kitabu Cha mungu wenye uelewa mdogo hapa awawez wakuelewa
7. Tanzania iliutambua uwepo wa taifa Palestine na kupokea ubalozi wake toka miaka 1965 kabla ya uwepo wa taifa la islael ya Sasa mnaelewa hapo hivyo mpaka Leo hakuna ubalozi wa islael Tanzania na nchi nying duniani na siyo ubalozi wa islael

Je, wajua Marekani ndyo kiungo Cha uzayuni toka miaka1800 uko nyuma na mpango wa kuanzishwa Kwa taifa Hilo

8. Nchi ya uingereza haitambui uwepo wa taifa la islael ila inatambua kuwa islael ni authority ndogo inayojitegemea katka nchi ya Palestine ambayo nchi hii ndyo ilikuwa kiunganishi Cha uwepo wa wazayuni katka eneo la Palestine hivyo nchi ya marekani inaishinikiza uingereza itiesaini juu ya kuitambua islael ni taifa huru kitu ambacho uingereza kinambana na kuona aibu na uwongo wa wazwaz

Je, mpaka hapo mmepata uelewa kuhusu taifa teule ambalo halimtambui hata uwepo wa yesu Wala Musa

Je, wana wa mussa baada ya kurudishwa kutoka utumwani je? Walipotea Tena na safari hii mussa ni nchi ya Marekani na wapambe wake

Je, unadhani ni kwanini nchi ya Mungu haiamini dini ya yesu Wala uwepo wa mussa na kutolewa utumwani Wala biblia Wala msaafu ila wenyeji wa Palestine ndyo wanaamini uwepo wa Allah na yesu ila sio taifa teule haliamin chochote

Hapa nmeeleza Kwa ufup tuuh na mwenye mawazo ya zaid aweke ili tutoane ujinga na maarifa
 
Kwenye historia ya Israel.
Umeandika 10%.
Kuna vitu ving hujaandika na pengine hujui. Na ukajiamulia kujua upande mdogo tu wa historia.

Wayahudi wametawaliwa na Falme nyingi kwa miaka maelfu.
Na hii ni baada ya utawala wao wa Kiyuda kuanguka.

Wametawaliwa na Waajemi , Wababeli, Roman empire, Ottuman, Osman na falme kadha wa kadha za kiarabu

Uzayuni ulikuwepo japo haukuwa na nguvu . Waingereza baada ya vita ya pili ya dunia , ikaunga mkono kuundwa kwa taifa za kizayuni.
Ambalo lilikuwa lina historia yake na watu wake. Na eneo lake. Ambalo lilikuwa limetawaliwa na kukaliwa na falme nyingne kwa miaka kadha wa kadha.

Ni kama Zanzibar ikiamua kujitenga na kuunda taifa lake.
Maana wana historia zao. Mila na desturi ambazo ni tofaut na Bara.

Sasa ni the same kama ilivyo kwa Wazayuni/wayahudi vs Waarabu.
 
Maana wana historia zao. Mila na desturi

Embu lete hiyo nazalia Yako inaonekana unaniamin islael hii ndyo taifa la mungu pole kiongoz wangu ila huo ndyo ukweli islael ni taifa la ujanja ujanja
 
Back
Top Bottom