zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
No walitoka lumumba wakaja na agizo la kumuua.
Na aliouliwa alitoka Kinondoni au sio? Ngoma moja bila!
No walitoka lumumba wakaja na agizo la kumuua.
Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?
Walitoka walikotoka wakaenda nyumbani kwake wakauwa au sio?
Na aliouliwa alitoka Kinondoni au sio? Ngoma moja bila!
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm
mimi nina nashaka sana na uraia wa said mwema.inasemekana wazazi wake waliingia tanga wakitokea kwao comoro . ni mngazija na ndo maana haruhusu nywele zake kukua maana ana uarbu flan hivi. ndo maana hana uchumgu na damu za watanzania anazozimwaga. wakuu chunguzeni kwa umakini wa kutoshaIGP Said Mwema Munisi siyo tu kada wa chama cha MAGAMBA ila pia ni Bwa'shee wa Mkuu wa Kaya.
.Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?
Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?
Hivi camera ya marehemu, nani aliichukua? Mkanada wake unaweza kuwa na maana kubwa sana
Huyu Saidi Mwema ni shemeji yake na Mwenyekiti wa CCM! I dont trust IGPCCM
Ndugu Zomba hapa kwa kweli wa kulaumiwa ni jeshi hata kama utasema Chadema walikaidi lakini kitendo walichomfanyia mwandishi na kumuua hakina uhusiano kabisa na ChademaWalitoka walikotoka wakaenda nyumbani kwake wakauwa au sio?
Ndio maana Lowassa anawaambia Elimu kwanza, mmekomalia kilimo kwanza. Mkuu, Shule kwanza,kujua kubofya kibodi na shule ni vitu viwili tufauti....
Hivi mie nawauliza jazaba za nini? ndio mtarudisha uhai? kaeni mfikiri kilichompelekea kwenye kifo chake, wacheni kuwa na fikra mbaya. Mtatukana humu mpaka mshikwe na usingizi, haiwasaidii chochote, sanasana mnapoteza mawazo mema.
Kwa hili Polisi hawana pa kutokea.Waandishi wa habari wana kinga popote pale.
Ndio maana hata vitani wao wanaripoti bila kudhuriwa na upande wowote ule.
Kuua mwandishi wa habari au mfanyakazi wa Red cross ni kosa na hilo halina ubishi.
Dr Slaa amkumbushe Mwema kuwa jana Vice President alikuwa Bububu kufungua campaign za CCM kwa vifijo, nderemo na taarab. Amri ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya hadhara wakati wa sensa inahusu vyama vipi?
Wewe ndo wakula ban,hayo mnayoongea ni zaidi ya matusi!yanastahili zaidi ya matusi,una bahati huonekani **** wewe!Nipigwe ban mimi au wewe unaetukana?
Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?