Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Said mwema na jeshi la polisi siku zote wana majibu mepesi ktk maswali magumu, subiri tuone..

Huo ndo ninaoutambua kama ulevi wa madaraka ndo unampa mtu kiburi kwakujua hakuna cha kumfanya
 
Tunafuatilia kwa ukaribu kila taarifa,tunataka watanzania na dunia ijue unyama huu wa policcm.
 
Ningekuwa chadema,basi kikao hicho kisingefanyika hadi kwanza mkuu yule wa polisi wa mkoa astep down.Tusubiri matokeo.
 
Chadema kuzindua tawi,Polisi kumpiga bomu MWANDISHI wa HABARI, then Roundtable meeting ya polisi na chadema!!!kwa nini si polisi na waandishi wa habari?je huyo marehemu ni nani wa chadema? Au labda mwema anataka kuwapa ratiba mpya ya M4C!!sioni manufaa yoyote yatakayopatikana kwenye kikao hicho kwa sasa,
 
Back
Top Bottom