Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Polisi hawana akili kweli maana kama claim yao ilikua ni kwamba CDM wamefanya maandamano bila kibali na kwamba hicho walichokifanya kilikua sahihi, mazungumzo ni ya nini tena??? Pumb..fu kabisa
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.

CHADEMA wawaulize hao kina mwema, mbona kule BUBUBU CCM wamefanya mkutano wa siasa au sio sehemu ya Tanzania.
 
Dr Slaa amkumbushe Mwema kuwa jana Vice President alikuwa Bububu kufungua campaign za CCM kwa vifijo, nderemo na taarab. Amri ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya hadhara wakati wa sensa inahusu vyama vipi?

Inahusu vyama vyote vya upinzani....lo!
 
More updates plse....

Expect no any more updates by now! I still waiting to get any updates about Ulimboka but nothing comes out!! Any update about Ally Zona please? Polisi ndio wenye ratiba kamili ya mauaji yote yaliyo/yanayo/na yatakayo fanyika,hawa ndio wenye full updates for each and all episodes.
 
Nchi yetu inahitaji mfumo mpya wa jeshi la polisi,haiwzekani mpaka itokee mauaji tena ya kinyama kama haya ndipo mnakumbuka vikao.Je mwandishi huyo amewakilishwa na nani katika kikao hicho.
 
Wewe ndo unastaili kupatA ban, saburi wewe. Unasababishia watu wapewe ban kwa upuuzi wako....andazi

Hivi mie nawauliza jazaba za nini? ndio mtarudisha uhai? kaeni mfikiri kilichompelekea kwenye kifo chake, wacheni kuwa na fikra mbaya. Mtatukana humu mpaka mshikwe na usingizi, haiwasaidii chochote, sanasana mnapoteza mawazo mema.
 
Hivi camera ya marehemu, nani aliichukua? Mkanada wake unaweza kuwa na maana kubwa sana
 
Nchi yetu inahitaji mfumo mpya wa jeshi la polisi,haiwzekani mpaka itokee mauaji tena ya kinyama kama haya ndipo mnakumbuka vikao.Je mwandishi huyo amewakilishwa na nani katika kikao hicho.

Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?
 
Kaka njoo tuition ya Kiingereza Buguruni Rozana. Hapa chini nimeweka tafsiri isiyo rasmi kwa wasio-waswahili ili angalau wajue ulichokusudia kuandika.

So what? If somebody is dead, will their meeting help to bring him back?
How much are they paid per head (for a meeting of their own creation anyway)?


Uache kuvamia lugha za watu na hicho Kiingereza chako cha Sekondari na Vyuo vya Kata.

how much are they being paid...sio?
 
You sound childish
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm
 
Mukama nae yupo?
.
Mkuu ungeulizia yule jamaa aliyesema kuwa ataifuta CHADEMA, nafikiri hii ni moja ya mkakati wa mwanzo wa kutumia polisi kuua raia na hatimaye watu watapata hofu ya kuhudhuria mikutano ya CDM na kisha kufutika chenyewe!
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.

What are the 4 agendas on the table????

  1. Kwanza nataka Dr. Slaa amwulize IGP Mwema kwanini amekiuka makubaliano waliyokubaliana juzi kuwa CDM wataendelea na mikutano yao tarehe 2/9/2012 baada ya sensa?
  2. Dr. Slaa amwulize IGP Mwema kama ni yeye anayewaagiza ma-RPC kuruhusu mapolisi watumie silaha za moto(Live bullets na Hand grenade).
  3. Nataka pia Dr.Slaa amwulize IGP Mwema iwapo mabomu ya machozi na risasi za mpira zinaweza kuuwa mtu kwa kusambaratisha kama ilivyotokea kule Morogoro na sasa Iringa.
  4. Nataka pia Dr. Slaa amwulize IGP Mwema kwanini kunapotokea mauaji ya Raia yanayohusisha Jeshi la Polisi Tume zinazoundwa zinahusisha Jeshi la Polisi peke yake badala ya Tume Huru.
  5. Pia nataka Dr.Slaa amwuliza IGP Mwema kwamba:Je,Polisi wanapata faida gani kutokana na vifo hivi vya Watanzania wasio na hatia?
  6. Swali la mwisho kutoka kwa Dr. Slaa kwenda kwa IGP Mwema ni: Hivi siku CHADEMA itakapochaguliwa na Watanzania kushika Dola IGP Mwema ataendelea kukaa Tanzania au atahama nchi???

Hayo ndiyo maswali yangu ninayotaka Dr. Slaa amwulize IGP Mwema kwenye kikao hicho kinachoendelea hapo Iringa. Tunataka majibu concrete na siyo majibu ya kijinga yenye mwelekeo wa ki-Policcm.

 
Back
Top Bottom