Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,650
- 218,116
Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe , ambaye anashikiliwa kwa Tuhuma za Ugaidi .
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wanachama na viongozi hao kwa wema wao huo , Tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu atawarudishia pale palipopungua kutokana na gharama za safari hiyo .
Mungu ibariki Chadema
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wanachama na viongozi hao kwa wema wao huo , Tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu atawarudishia pale palipopungua kutokana na gharama za safari hiyo .
Mungu ibariki Chadema