Viongozi wa BAVICHA wakutana na Freeman Mbowe

Viongozi wa BAVICHA wakutana na Freeman Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,907
Reaction score
288,002
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wa ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa, BAVICHA, leo wamekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Kikao hicho kizito kilikuwa na lengo la kupanga mikakati ya Maadhimisho ya Kidunia ya Siku ya Vijana yatakayofanyika Mkoani Mbeya tarehe 12/08 /2023 na kuongozwa na BAVICHA.

FB_IMG_1688384944665.jpg

Usiondoke JF
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wa ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa, BAVICHA, leo wamekutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

Kikao hicho kizito kilikuwa na lengo la kupanga mikakati ya Maadhimisho ya Kidunia ya Siku ya Vijana yatakayofanyika Mkoani Mbeya tarehe 12/08 /2023 na kuongozwa na Bavicha.

View attachment 2677266

Usiondoke JF
Ok
 
Back
Top Bottom