Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Pamoja ya kwamba sipo upande wa watesi ila napenda saana kubalance Story hasa kwenye kusikiliza pande zote.
ukiwa mpinzani ni vyema kujifunxa kusikiliza kwasababu ipo siku utakua mtawala so ukiwa mtu wa mlengo mmoja ndo utakua kama hawa waliolewa madaraka
Upinzani sio watawala, watawala ni CCM. Upinzani ni Viongozi, hivyo wataongoza na sio kutawala.
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Umejaribu kuandika vizuri, next time try to be smart, kwani unge mlaumuhuyo jaji tu bila kutaja marehemu nani angekuona mjinga??.
Alafu unasema kabisa " marehemu" huyo marehemu anaelekeza nini hapo.
 
Huyo si jaji Bali ni hagi
 
Vitu vyenyewe ni bastola na risasi 3, na laki 6! Bastola ya maajabu kama ile chupa aliokotaga bushman kwenye’God’s Must Be Crazy’, inafanya kila kitu! Inaangusha magogo hapa mpaka Iringa, inalipua vituo vya mafuta, inahamasisha maandamano na kadhalika na kadhalika! Ogopa, Mazaa kaizungumzia BBC, na Ziro kasema Mbowe siyo malaika! Pouwa, ile diary ni msaafu!
Umemaliza mkuu
 
Hii nayo ni point, mbona Mbowe anahisiwa tu alikula njama ya ugaidi, lakin hakushikwa na kudhibiti chochote hajaachiwa? Wakati huyo askari amekutwa na kudhibiti mahakamani anasoma lakin anasamehewa
Acha tu ndugu.ndiyo maana wenye akili huru wanaiona hii kesi niya kujitia aibu kwa majaji kwa ajili ya maagizo. Unakutwa na vitu ambavyo Ni makosa kuwa navyo alafu jaji anasema hakuvitumia. Inaingia akilini kweli?
 
Naona wewe ni mbumbumbu wa sheria, pole. Diary za polisi ni kitu cha kazi, ni sawa na stethoscope ya Daktari. Kwa vile kazi yake inakuwa ba siri za ushushushu hawezi kukaa mbali nayo. La muhimu ni kutoitumua. Isitoshe, diary za siku hizi ni smartphones, unaweka siri zako zote na kuna google. Ili uelewe tatizo lako, mwangalie mbowe na adamoo na kibatala na mnyika na yule askofu nanino, wote wana simu. Je, wana kibali? Finally hii ni kesi ya ugaidi, mauaji ya halaiki, si ya Wapare kuiba kuku. Jaji lazima atumie kila ushahidi uliopo, hawezi kuwaacha magaidi huru kwa visingizio (technical errors). Ndiyo maana utakumbuka walipokosea tarehe ya kukamatwa adamoo hawakumwachia huru, badaka yake Jaji akaamuru tarehe isahihishwe. Pia waluandika amejamatiwa "Kikimanjaro City" kina Kibatala wakatia pingamizi eti "hakuna mji kama huo Tanzania",, jesi ifutwe. Jaji akakataa kwa vile wote wanajua walikokamatiwa. Akaamuru isahihishwe isomeke "Himo". Small, harmless errors.
Sina haja ya kukuelewesha kwenye hili kwa sababu unafurahia kuishi katika giza la ujinga.
 
NINI ALIKOSEA SHAHIDI?? Ni kuifunua na Kuanza Kuandika yale yaliyokuwa Yanaendelea BILA RUHUSA YA MAHAKAMA.. Hilo Ndilo VIOLATION ambayo Jaji amezungumzia..
TUWE WAKWELI
Kwahiyo hicho kipengele hapo hakitoshi kumuondoa / kumzuiya shahidi kuendelea na ushahidi wake??.
 
Umejaribu kuandika vizuri, next time try to be smart, kwani unge mlaumuhuyo jaji tu bila kutaja marehemu nani angekuona mjinga??.
Alafu unasema kabisa " marehemu" huyo marehemu anaelekeza nini hapo.
Marehemu ametajwa purposely. Nitajie japo jaji mmoja aliyeteuliwa na marehemu ambaye ni smart.
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Magufuli sijui alikua na mipango gani tu na hii nchi, Mungu anamuona huko aliko.
 
ACHA MAHABA
5. It was within the District Court's discretion to assure that the jury would hear the investigator's full testimony, rather than a truncated portion favorable to respondent, and the court's ruling, contrary to respondent's contention, did not deprive him of the Sixth Amendment rights to compulsory process and cross-examination. That Amendment does not confer the right to present testimony free from the legitimate demands of the adversarial system, and cannot be invoked as a justification for presenting what might have been a half-truth. Pp. 422 U. S. 240-241.
Wewe mwenyewe ni mdesa desa tu na copy na pest yako!
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
MAJAJI MAKADA SHIDA SANA
 
Majaji wa TISS wanatakiwa wawe majaji bora na wenye weledi na busara, wasiotiliwa shaka kuliko wengine wote.
Ukitaja TISS lazima uhusianishe na neno "intelligence".
Haieleweki kwa akili ya kawaida kwamba mara nyingi tuhuma zenye kukosa weledi, au za kipuuzi na hata za kihuni na kihalifu kwa uwazi kabisa kuhusishwa na TISS.
TISS yenyewe imesheheni UVCCM, unatarajia kuwe na watu wenye akili gani huko?
 
Umejaribu kuandika vizuri, next time try to be smart, kwani unge mlaumuhuyo jaji tu bila kutaja marehemu nani angekuona mjinga??.
Alafu unasema kabisa " marehemu" huyo marehemu anaelekeza nini hapo.
Marehemu ndio chanzo cha hao majaji WAPUUZI, kamwe hawezi kusahaulika kwa UHUNI aliotufanyia wadanganyika.
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!

Tumuambieni mwamba amkatae na huyu judge!
 
Binafsi najiuliza, kama jibu ni hilo, kwanini uamuzi huu hakuutoa siku ile ile alipokamatwa na diary?

Kwa maneno mengine, kama hoja ni shahidi kutumia au kutotumia hiyo diary, kwanini Jaji hakujikita kwenye hii hoja tangu siku ya kwanza shahidi huyo alipokutwa na diary mahakamani?

Angejikita kwenye hii hoja, si ingechukua dakika chache tu kutoa uamuzi kuhusu hili jambo?

Je,huu si ushahidi kwa Jaji ana upande kwenye hii kesi?
I was asking myself the same damn question

Kwanini ilimhitaji kuchukua siku mbili ili kufikia uamuzi, wakati uamuzi huo hauna complex?
 
Sina haja ya kukuelewesha kwenye hili kwa sababu unafurahia kuishi katika giza la ujinga.
Asante sana, waache inzi wa kijani waendelee kufurahia kinyesi, na kuzalisha kipindupindu, kwa sababu kamwe inzi hata kua nyuki wala kuzalisha asali! Asali inasababishwa na alichokula nyuki, na wanacholishwa mainzi wa kijani, kinajulikana sana!
 
Mkubwa jalibu kupitia vitabu vya sheria angalau mara moja moja upate uzoefu. Hakuna kifungu cha sheria kinachomkataza shahidi/mtuhumiwa kuingia kizimbani akiwa na cm au note book. Bali ukitaka kurejea katika note book yako uliyonayo unatakiwa kuomba idhini kwa hakimu/judge.

Hiyo ni kwa mujibu wa sheria. Hivyo ukiingia na note book kizimbani na usiitumie hakuna kosa. Lakini ukiingia nayo na ukaitumia bila idhini ya hakimu/judge ni kosa. Kwa maana hiyo upande wa utetezi wanao wajibu wa kuthibitisha kuwa shahidi huyo alikuwa akisoma hiyo note book wakati akitoa ushahidi wake.
hiyo sheria ni ile ambayo umeshindwa kuiweka? ni ile ambayo Jaji alishindwa kuvitumia kuwazima kina Kibatala dakika 1 tu? weka vifungu punguza maneno meeengi.
 
Hakuna vifungu kwenye sheria ya ugaidi. Kwa hiyo Msomi Mtobesya aliamua kutumia sheria ya ushahidi ya makosa ya jinai, na jaji hakupinga kutumia sheria hiyo. Vifungu pamoja na kesi za rejea za ndani na nje ya Tanzania, wakili amefafanua sana kwenye maelezo yake. Soma maelezo ya wakili, yana majibu yote ya maswali yako.
Ishu ni kwamba wakati marehemu ana akinadi kuwa ataanzisha Mahahakama za mafisadi na uhujumu uchumi alikuwa ana wa lenga wapinzani waliokuwa wana nadi sera zao jumpinga yeye asiingie ikulu.
 
Back
Top Bottom