Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,761
Mbona inaeleweka kirahisi tu! Yaani ukiingia na majibu kwenye chumba Cha mtihani na ukakutwa nayo kwa siyo kosa mpaka ithibitike yalikusaidia!! Mbona mahakama zimeharibika hivi!!Kama ni kosa, na unauhakika, adhabu yake ni nini? Na hiyo adhabu inaathiri vipi mwenendo wa kesi?
Yule aliyewaonea akina Mbowe, alipewa cheo kikubwa sana , ni msajili wa mahakama. Ndiye anayewapanga hawa tiss waliorundikwa huko kwenye mahakama.Majaji wa kimkakati hao. Ni majaji wa kupangiwa kipi wafanye. Rejea hakimu Desdery Kamugisha aliyembania Lema pale Arusha ashalamba cheo,sijajua hakimu Mteite aliyemfunga Sugu Mbeya Kama kapanda cheo tayari na vipi yule hakimu wa Kisutu aliyewagangania kina Mbowe. Ibilisi joka kuuvalikuwa kiumbe wa ajabu kuwahi kutokea ktk uso wa nchi hii.
Adhabu yake imeelezwa ni kufutwa kwa ushahidi aliotoa na yeye mwenyewe kukosa sifa ya kuwa shahidi.Kama ni kosa, na unauhakika, adhabu yake ni nini? Na hiyo adhabu inaathiri vipi mwenendo wa kesi?
Kwani aliyekamatwa na bastola aliitumia?Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:
1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.
2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.
Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!
Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Sijui unachotaka kutetea ni Nini? Kama kuwa na diary kizimbani siyo kosa, basi jaji angelitolea maamuzi siku hiyo hiyo na kesi ikaendelea, lakini diary anaiweka toka Ijumaa , jana kaahirisha, leo KATOA maamuzi inaleta picha kwamba ana nunua muda ili apate maelekezo toka juu, hakuna tofsiri nyingine.Tukiwa tunasema Ukweli tutakuwa tunawasaidia sana hasa wanaosoma incase kama hawana Uelewa wa kinachoamuriwa na mahakama
(1) Jaji HAKUSEMA kuwa ni Makosa Shahidi kuwa na Diary mahakamani..
Kinyume na jinsi walivyotaka akina Kibatala.. Maana wao walisema Kizimbani huwepo Biblia Au Quran tu.. Lakini Ukweli ni zaidi ya Hivyo maana Hata VIELELEZO Shahidi aweza kuwa navyo AKISUBIRI UAMZI wa Kuruhusiwa kuvitumia.
Sheria inaposema Shahidi anaweza KUJIKUMBUSHA kwenye Diary yake maana yake alikuwa nayo,, muda wa Kujikumbusha siyo Kwamba ndipo atoke Kizimbani kwenda kuitafuta Diary yake.. Anakuwa nayo hapo. Bali anasubili Ruhusa ya mahakama/Jaji
(2)Hadi Kibatala Ana raise Hiyo Hoja Shahidi alikuwa HATUMII HIYO DIARY katika kutoa Ushahidi.. Tangu anaongozwa Na wakili wa Serikali hadi mapingamizi yanaanzia HAKUNA sehemu aliyoonekana Akiitumia Hiyo Diary
NINI ALIKOSEA SHAHIDI?? Ni kuifunua na Kuanza Kuandika yale yaliyokuwa Yanaendelea BILA RUHUSA YA MAHAKAMA.. Hilo Ndilo VIOLATION ambayo Jaji amezungumzia..
TUWE WAKWELI
(3) Kile walichokwenda Kusoma/Kuangalia ni je hayo aliyokuwa ameandika yanahusiana/Yanaharibu mwendelezo wa Kesi na Utoaji wa Ushahidi wake?? Na hapo Jaji ndipo aliunga Mkono hoja ya akina Kibatala kwenda Kuangalia kwenye Diary yake aliyokuwa anaandika/ameandika!!!!
(3) Sheria ya Ushahidi waliyoitumia akina Kibatala HAKUNA sehemu/Kifungu kinachosema Shahidi akikutwa na Diary basi aondolewe kuwa Shahidi, bali sheria imesema ni issue za Umri mdogo Au Mkubwa,, insanity SIYO kukutwa Na diary
Mifano inayotolewa eti mtu akikutwa na Desa AMBALO HALITUMII Chumba cha Mitihani inakuwaje!! .. Ni issue ambayo Haina relevance Hata kidogo..
MTAHINIWA HAWEZI KUONDOLEWA chumba Cha Mitihani Bali hilo Desa huchukuliwa na yeye kuruhusiwa kuendelea na Mtihani. Kisha huwa attached katika ripoti ya wasimamizi ili kusaidia kufikia uamzi Kulingana na Matokeo yake.
Narudia, Tuwasaidie wanaotusikiliza/Wanaosoma majibu yetu ili Hata uamzi unapotoka tusiwapotoshe.
ACHA MAHABAAdhabu yake ilikuwa ku mdisqualify shahidi na ushahidi wake wote aliotoa, sema wewe hilo linaathiri vipi mwenendo wa kesi.
Ungeuliza pia kwa nini Mawakili wa utetezi hawakuweka pingamizi kabla ya shahidi kuanza kutoa ushahidi?Binafsi najiuliza, kama jibu ni hilo, kwanini uamuzi huu hakuutoa siku ile ile alipokamatwa na diary?
Kwa maneno mengine, kama hoja ni shahidi kutumia au kutotumia hiyo diary, kwanini Jaji hakujikita kwenye hii hoja tangu siku ya kwanza shahidi huyo alipokutwa na diary mahakamani?
Angejikita kwenye hii hoja, si ingechukua dakika chache tu kutoa uamuzi kuhusu hili jambo?
Je,huu si ushahidi kwa Jaji ana upande kwenye hii kesi?
Majaji wa TISS wanatakiwa wawe majaji bora na wenye weledi na busara, wasiotiliwa shaka kuliko wengine wote.Majaji wa tiss
Sawa, sisi tuzidi kumwambia Mungu. Ila kwa vyeo hivyo vya kupata baada ya kuwataabisha binadamu wenzao mwisho wake tumwachie Mungu.Yule aliyewaonea akina Mbowe, alipewa cheo kikubwa sana , ni msajili wa mahakama. Ndiye anayewapanga hawa tiss waliorundikwa huko kwenye mahakama.
Kama ni kosa, ushahidi wa Shahid unakuwa batili, kwamba washitakiwa walifikishwa central police kuchukuliwa maelezo( na uthibitisho huo unapatikana kwenye detention register) kwamba kweli walifika pale. Na kama ushahidi huo hautochukuliwa, maana hata maelezo ya kukiri kupanga njama za ugaidi nayo ni batili, maana hakuna kielelezo kwamba mashahidi walifika pale na walichukuliwa maelezo. Patamu hapo. Sema jaji hawezi kubali kuwanyonga waajiri wake.. mbeleko ya goli la mkono itaendeleaKama ni kosa, na unauhakika, adhabu yake ni nini? Na hiyo adhabu inaathiri vipi mwenendo wa kesi?
Hii nayo ni point, mbona Mbowe anahisiwa tu alikula njama ya ugaidi, lakin hakushikwa na kudhibiti chochote hajaachiwa? Wakati huyo askari amekutwa na kudhibiti mahakamani anasoma lakin anasamehewaJaji ni mtu mashezi tu. Kwa hiyo mbowe amekutwa na vitu vya kufanya uharifu Ila hakufanya mbona amuachii. Mpumbavu mkubwa huyo
Yafaa sasa tuanze kuwakagua waalimu wa hawa ma judge, labda na wao ni wale wa hapa na pale, wameunga unga tu na kutuletea hawa ndondocha wanao-onekana kabisa kuzidiwa na mawakili wa utetezi...Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:
1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.
2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.
Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!
Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Adhabu yake ni kutoendelea kuwa competent witness na ushahidi wake kutopokelewa mahakamani.Athari kwenye mwenendo wa kesi ni mbaya maana mtu anapotoa ushahidi wa uongo ni sawa na kubinya haki za washtakiwa.Kama ni kosa, na unauhakika, adhabu yake ni nini? Na hiyo adhabu inaathiri vipi mwenendo wa kesi?
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:
1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.
2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.
Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!
Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Naona wewe ni mbumbumbu wa sheria, pole. Diary za polisi ni kitu cha kazi, ni sawa na stethoscope ya Daktari. Kwa vile kazi yake inakuwa ba siri za ushushushu hawezi kukaa mbali nayo. La muhimu ni kutoitumua. Isitoshe, diary za siku hizi ni smartphones, unaweka siri zako zote na kuna google. Ili uelewe tatizo lako, mwangalie mbowe na adamoo na kibatala na mnyika na yule askofu nanino, wote wana simu. Je, wana kibali? Finally hii ni kesi ya ugaidi, mauaji ya halaiki, si ya Wapare kuiba kuku. Jaji lazima atumie kila ushahidi uliopo, hawezi kuwaacha magaidi huru kwa visingizio (technical errors). Ndiyo maana utakumbuka walipokosea tarehe ya kukamatwa adamoo hawakumwachia huru, badaka yake Jaji akaamuru tarehe isahihishwe. Pia waluandika amejamatiwa "Kikimanjaro City" kina Kibatala wakatia pingamizi eti "hakuna mji kama huo Tanzania",, jesi ifutwe. Jaji akakataa kwa vile wote wanajua walikokamatiwa. Akaamuru isahihishwe isomeke "Himo". Small, harmless errors.Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:
1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.
2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.
Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!
Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:
1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.
2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.
Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!
Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Mkuu hiyo ni sheria ya marekani na sio TanzaniaACHA MAHABA
5. It was within the District Court's discretion to assure that the jury would hear the investigator's full testimony, rather than a truncated portion favorable to respondent, and the court's ruling, contrary to respondent's contention, did not deprive him of the Sixth Amendment rights to compulsory process and cross-examination. That Amendment does not confer the right to present testimony free from the legitimate demands of the adversarial system, and cannot be invoked as a justification for presenting what might have been a half-truth. Pp. 422 U. S. 240-241.