Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Anahitaji kuthibitisha anayosema pamoja na hizo kauli za mkapa azithibitishe huu si wakati wa hearsay evidence tunahitaji vitu vitakavyo onyesha ukweli
 
Huyu Vincent angeulizia kwa wenzie kwanza,AMINA CHIFUPA YUPO WAPI? Kama amejibiwa Ipasavyo basi angenyamaza kwa Maslahi yake na familia

Mwacha aseme ni wakati wa mambo hadharani kila nafsi itaonja mauti hata hao wanaoangamiza wenzao
 
Aliyoyasema Vicent wala hayana haja ya kutafuta ushahidi hili jitu halina hata integrity, limeuza nchi yetu kama lilivyouza familia yake. I hate what he did to Steve, mwanaye mwenyewe wa damu japokuwa hainihusu kwa sababu ya mwanamke ndivyo kalifanyia taifa letu huyu binadamu kweli.!
 
wakuu hii imekaa vibaya...Ila nashukuru nilichogundua ni kwamba JF inaendesha serikali ya JK.Kila siku viongozi tofauti wanatembelea hapa.Na sehemu kubwa ya h otuba zao zimekuwa influenced na KF postings.Its serious information is power and its even powerful when the characters have no control on it.Magazeti ya leo yameandika taarifa na matamshi ya viongozi ,from the context ni wazi kuwa JF imeshape mpaka fikra zao.
 
wakuu hii imekaa vibaya...Ila nashukuru nilichogundua ni kwamba JF inaendesha serikali ya JK.Kila siku viongozi tofauti wanatembelea hapa.Na sehemu kubwa ya h otuba zao zimekuwa influenced na KF postings.Its serious information is power and its even powerful when the characters have no control on it.Magazeti ya leo yameandika taarifa na matamshi ya viongozi ,from the context ni wazi kuwa JF imeshape mpaka fikra zao.Sijui wanasoma wakiwa chamber gani wasionekane.Au ndio km enzi zile watu wananunua vijarida vya udaku halafu wanaweka katikati ya magazeti mengine.Okay pengine wanasom JF ktk balackberry.wanaweza pia jifanya wanataka jua hawa wajinga wa JF wanaongea nini ili wawajibu....haha.
 
kweli hapa tumejaa wazushi, Je unafahamu kuwa Mwalimu ndiye aliyekwenda Washington DC kumwakilisha Mkapa enzi hizo kuongea na Wolfehson akiwa Rais wa Benki ya Dunia kuinusuru NBC na NMB? na Mwalimu alifanya hivyo? Na ndiye maana Leo bado zipo! Kama silo Mkapa kushirkiana na Mwalimu, leo hii mngebakiwa na Meridian Biao:) na mabenki ya nje tu!

kuhusu kubinafishwa kwa NBC na MNB Mkapa amegeuzwa Baniani, kiatu chake dawa:) na mumshukuru Mwalimu kuridhia kufana kazi hiyo kwa niaba ya Mkapa:) ushauri wa wakubwa ulikuwa tusiwe na mabenki yetu wenyewe!


Si rahisi kunishawishi kuhusu uuzwaji wa NBC. Ilikuwa inafanya kazi kwa faida, ilipigiwa kelele hata na wabunge.

As for Mkapa hakuanza unafiki na uzandiki akiwa Rais. Nadhani alikuwa waziri wa muda mrefu katika baraza la JKN. Alifanikiwa kuficha makucha yake ya kuwa mtanzania asiye na utanzania hadi alipopata urais. JKN aliendelea kuwa kiwingu kwenye utawala wake, akafanya aliyoyafanya.

Nasisitiza kuna kifo kweli, lakini cheti cha daktari ndiyo ushahidi. Tuache kifo cha JKN tuzungumazie kifo cha NBC; haikuumwa lakini imeuawa kwa maana imetoka mikononi mwa watanzania kama mtu aliyekufa na kuzikwa. Nakumbusha lingine mnakumbuka Dr. Mwakyembe alijitoa kwenye bodi ya NBC? Unganisheni.

LAKINI NDUGU USITUDHALILISHE KWA KIATU CHA BANIANI. MKAPA NI MUMIANI.
 
Haya ndio matatizo ya ccm,hawajui mkapa anashindia super valeur,premium vodka na wisky halafu mnamtuma akafungue kampeni mnachotaka kitokeee hapo nini kama sio kuchafua hali ya hewa!!!!!!!!!!!!!!,aliyesema mwl.j.knyerere amekufa kwa kansa ya damu sio daktari wala mganga mkuu wa serikali wala ,waziri wa afya ni huyuhuyu b.w.mkapa kwa nini tusiamini alishiriki kama mara baada ya kifo cha mwl.ubinafsishaji usiokuwa na tija kwa taifa ukaaanza kwa fujo na bw,b.w.mkapa kwa nini hakufanya wakati mwl.yu hai mambo hayo?ameshiriki na kwa sababu aliyetamka ni mwanafamilia si to na endorse/tunakubaliana na tuhuma hizi kama mkapa kachafuliwa atangulie mahakamani kujisafisha.
 
Wanajamvi, Mpaka sasa swali ambalo linanitatiza ni hili: Mbona Marehemu, Baba wa Taifa, JKN hakusafiri na ndugu yeyote wa karibu hata mmoja: Mke wake, watoto wake, wajukuu wake?...pengine matokeo yange kuwa tofauti...
 
Aliyoyasema Vicent wala hayana haja ya kutafuta ushahidi hili jitu halina hata integrity, limeuza nchi yetu kama lilivyouza familia yake. I hate what he did to Steve, mwanaye mwenyewe wa damu japokuwa hainihusu kwa sababu ya mwanamke ndivyo kalifanyia taifa letu huyu binadamu kweli.!

mkulu salama lakini? hebu funguka basi, kwani alifanya nini kwa huyo mwanae steve? naomba unijuze tafadhari
 
sa sa huyu ndugu yetu Vicent asijekusema kwamba anasiri nzito juu ya mkapa alafu aseme tu vitu vichache, mi namshauri kama amehamua kumwaga ugali (manake BMW alishamwaga mboga) basi kama vipi amwage pia na maji ya kunawia manake wanaweza wakamwakyembe kabla hajatuhabarisha juu ya uozo wa huyo dirty bagus (mr clean), saa nyerere's army embu mtumwagie hizo siri nzito nzito zaidi za huyo fisadi wa kiwira, ambae hata sina uhakika kama jogoo wake anawika manake sijawahi kkumsikia mtoto wake, hivi ana kinda kweli au ndo kama wako jako????????????
 
Ushauri wa bure kwa Mh Vincent Nyerere ni kumtaka awe na ushahidi wa kutosha kusupoprt matamshi yake, matamshi ambayo ni serious stuff dhidi ya Rais mstaafu.
Hisia peek yake bado hazisimami despite all the sensationalism caused.

Hiva iunadhani VN atakua ameropoka tuu?unadhani kabla ya kumpa BWM hayo maneno,hakuwasiliana na viongozi wenzake wa juu wa CDM na wao kumpa Go ahead?basi itakua jambo la kushangaza kama aliamua tuu kuropoka na webzake hakuwataarifu kua ataongelea nini.

Naimani wote viongozi wa CDM walijua VN alichokua anaenda kukiongelea mbele ya BWM,na ni wazi kabisa jamaa ana supporting facts za alichokisema.Hivyo wanamsikilizia BWM alete vyoko zaidi ili wateme cheche.

CDM tokea mwanzo walishajua kua BWM atapewa chance ya kusimamia upande huo wa CCM,na kwa jinsi wanavyojua tabia ya huyu mzee weyu BWM walijua tuu asilimia kubwa ya 95% mzee huyu ataropoka jambo ambalo ni baya kama kawaida yake anapenda kutumia mabavu,Na hapo hapo ndo CDM wangemmaliza kwakutumia mwanya huo.Watu wanaona mbali kwa darubini kali,hivyo walijua tuu BWM ataingia mtegoni.
 
Huo ufisadi wa mkapa ambao unataka tuuzungumzie, Ulipata myanya baada ya Kufa Mwl.J.K Nyerere. So, kwa nn kipindi cha nyuma haukuwepo? Na ni kwa nn wanasiasa waliokataliwa na Mwl.Nyerere walipewa nafasi na wana-CCM baada ya yeye kufariki? Pia,Iweje Mwl. Nyerere aondoke TZ mzima wa Afya kabisa alaf afike Uingereza eti ndio azidiwe mpaka ashindwe kuongea? Hivi unaweza kuwaambia wa2, kwa nn Mkapa na mkewe walivyokwenda kumuona Nyerere Uingereza, alikua bado ana Afya nzuri lakn walivyoondoka nyuma alizidiwa ghafla? Siasa ni pana sana usichukulie poa, Hata Edward Sokoine,Dr. Omar Ali Juma... vifo vyao havieleweki..! Kwani wewe hujui kua Dr.Mwakyembe alipewa sumu? Au unadhani alipewa sumu ili aongezeke umaarufu wa kisiasa? "J.K Nyerere Dealth--> Ubinafsishaji wa mali za umma--> Ufisadi--> ??"
 

mkulu salama lakini? hebu funguka basi, kwani alifanya nini kwa huyo mwanae steve? naomba unijuze tafadhari
Swalama wazee wa Dar tupo!... Kuhusu Steve, Ya Las Vegas, hubakia Vegas!Nachosema mimi kuna vitu vinajulikana kwa tabia ya mtu. Mara nyingii sana Tabia ya kiongozi huonekana hata nyumbani kwake. Kwa mfano Marehemu Nyerere aliwapenda watanzania na mustakabali wa nchi yetu kuliko hata watoto wake. Alitupenda na kutufanyia mengi sana na Afrika kuliko yeye mwenyewe na ndio kafa maskini - Countryman - Aliwajibika kwa TAIFA.

-Mwinyi aliwapenda sana familia yake na kuwapa wanawe uhuru kupita kiasi kutumia fedha yake nyingi ktk kuijenga familia, ndivyo alivyofanya kwa Maslahi ya nchi japokuwa ktk kufanya hivyo aliwadumaza watoto wake na hata wananchi kwa ujumla - Familyman - Aliwajibika kwa WATU.

- Mkapa alipenda sana kuhadaiwa nje ya ndoa hata kuwaacha watoto, wananchi na mustakabali wa nchi yake kwa sababu ya tamaa zake. Na Ufisadi kwa maslahi ya mke au Marekani haoni ubaya hata kama inaathiri watu wake -Selfishman -Aliwajibika KWAKE.

- JK naye kama umjuavyo anapenda sana kwenda nje ya ndoa, ni mhuni kitabia na vile vile mhuni hata katika kuongoza nchi kila siku nje ya nchi akidai kutafuta wawekezaji kama anavyodanganya nyumbani kwake kwenda kuwatumikia wananchi kumbe yuko misele vibandani. Hana msimamo mmoja ktk maswala ya faragha ndivyo asivyokuwa na msimamo hata kitaifa...But he loves his kids more than anything ( kwa maneno) kama anavyotupenda sisi Watanzania lakini hajui afanye nini - Sharobaro - Hana WAJIBU au hajui Wajibu au hajui afanye nini..
 
Mshaurini Vicent Nyerere aachane na hizo siasa. Hoja kuu ambayo alitakiwa kuisimamia ni kwamba Vicent Nyerere hajawahi ku-claim mahali popote pale kwamba yeye ni mtoto wa Marehemu Mwalimu Nyerere. Kwa hiyo, claim ya Mkapa ilikuwa baseless na haiwezi ku-hold maji na hizo ndio siasa za maji taka, watu wanaacha hoja halafu wanakijita kwenye kuzua vijambo na vijimambo.Discussion za chanzo cha kifo cha Mwalimu Nyerere kwa sasa haziwezi kuwasaidia CHADEMA ili washinde huko Arumeru Mashariki. Mjadala huo kwa sasa hauna msaada wowote kwa wananchi wa Arumeru ambao wana matatizo ya Ardhi na Maji, pamoja kukosekana kwa ajira kwa vijana.Focus ya Kampeni ya CHADEMA iwe ni kwenye kero za wananchi wa Arumeru. Ili kumgonga vilivyo Mkapa na Chama chake, matatizo ya maji na ardhi hayajaanza leo wala juzi, yapo kwa miaka mingi sasa. Je, Mkapa akiwa Rais ina maana hakuyajua hayo matatizo, kama aliyajua, kwanini hakuyashughulikia? Kikwete yuko madarakani mwaka wa 7 sasa, je hajapelekewa hayo matatizo au hajui hayo matatizo? Je, wananchi watakuwaje na imani kwamba Mkapa akienda kumwambia Kikwete matatizo ya maji na adhi atayatatua na ilihali amekuwa madarakani kwa miaka 7 na matatizo yako pale pale? Iwapo Mzee Sumari (RIP) alishindwa kusaidia kutatua matatizo ya Arumeru Mashariki akiwa Naibu Waziri wa Fedha (sehemu ya serikali ya chama tawala), je leo hii mwanae ndio ataweza kuyatatua? CCM kimebaki kuwa ni chama cha kuweka ahadi hewa bila kutimiza. Hapo ndio CHADEMA inatakiwa kusimamia kwa kuwa ndo ukweli wenyewe na wananchi wanajionea. Wakumbusheni kwamba hata Igunga ambako CCM walishinda uchaguzi mdogo, zile ahadi zote za CCM zilizotolewa kwa wana Igunga ikiwemo ya kujengewa daraja hazijatimizwa hata moja!
Haya yote CDM Wanayajua na kuyasema kila siku na ndio mana wana majimbo yakutosha bungeni!Hili la Mkapa kujibu Mapigo!Yeye kamwaga mboga wao wanamwaga ugali!Vicent asingejibu Mapigo angetupwa mbali sana kwenye kampeni!
 
Huyu bwana mdogo vicent atakuwa kalewa sifa atoe fact ambazo zinasibitisha anachokisema.zikiwemo report za huyo daktari anae msema alitakiwa atoe report toka lin mtoto akatoa taarifa ya familia wakati baba yupo?

unajuaje kama mshua wake JOSEPHAT NYERERE Kamweleza ujue wanaCDM hawaropokag wanauhakika na wanachokiongea n KIDONGE tu
 
Tanzania yetu sote mungu ibariki tanzania na watu wake wote si lazima wote tuwe ccm ili tujenge inchi yetu
 
Chama Cha Mauaji, wamemkosakosa Mwakyembe
Buriani hayati baba wa taifa, Sokoine, Balali, Kolimba, Kombe..
 
Back
Top Bottom