Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
khhaaaa haya maneno ni mazito sijawahi kuyadhania...mhhh kumbe mkapa ndo ulivyo hivo!!!.....
Kaharibu tena juzi jangwani
khhaaaa haya maneno ni mazito sijawahi kuyadhania...mhhh kumbe mkapa ndo ulivyo hivo!!!.....
Amkeni wana jamii..... Mi naelekea mawindoni kusaka meno ya tembooooo
Si arudi uwanja wa vita Arumeru, anashindwa kipi kama kweli anao ushahidi..mbona kenda kuomba samahani nyingi na kulialia jitu zima..
Mkapa ana roho mbaya sana huyu mzee.Kiukweli Nyerere kuna kitu alifanyiwa si bure.
Mkapa ana roho mbaya sana huyu mzee.Kiukweli Nyerere kuna kitu alifanyiwa si buren
Ni lazima ajitokeze na aombe radhi Watanzania kwa kutuita Wapumbavu na Malofa.
Dah hii kali jamani mzee wa watu ataanguka kwa shindikizo la dam bora asamehewe ikiwa kweli kafanya jambo baya sana ukianza kuonja dam ya binaadam utaendelea tu mauwaji ya pemba thambi inazidi kumtafuna
Kama anaweza ampe na sasa, si alitembelea nyota ya Nyerere Arumeru, sasa nyerere wa kweli yupo CCM