Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums

Uzi huu ni wapata miaka mitatu iliyopita, na tuhuma alizotoa Vicent Nyerere ni Kali sana.

kwa ninanvyojua swala la kifo cha baba wa taifa Mkapa kuusishwa linapotokea ghafla moto uwa unazimwa na Mkapa kupotea. Huwa najiuliza kwanini?


Lakini natumai safari hii ukweli utawekwa wazi.
 
lol, ngoja nilie kwanza.

Mamdenyi ndo maana ngoyai yupo kimya wala hasemi lolote kumbe anayajua haya ila kuna siku atakuja tapika yote, kuanzia baba wa taifa mpaka balali, wacha tuone na sijui itakuwa season ngapi, hujiuliza huyu baba matusi yote mbona yupo kimya hivi, sasa napata picha kwamba ipo siku atatapika
 
Mkapa ana roho mbaya sana huyu mzee.Kiukweli Nyerere kuna kitu alifanyiwa si buren

Mkuu mie nilikuwa sijui lolote sasa napata mwanga, kuna watu wana roho ngumu sana, unapigiwa debe unapewa madaraka tena makubwa kisha unamrestisha mwenzako in peace, nafananisha na kualika mgeni ndani ya nyumba yako kisha anamkong'oli mkeo, faizafoxy yuko wapi akanushe
 
Uzi huu ni wapata miaka mitatu iliyopita, na tuhuma alizotoa Vicent Nyerere ni Kali sana.

kwa ninanvyojua swala la kifo cha baba wa taifa Mkapa kuusishwa linapotokea ghafla moto uwa unazimwa na Mkapa kupotea. Huwa najiuliza kwanini?


Lakini natumai safari hii ukweli utawekwa wazi.



mkuu kweli umefikiria sana na kunifungua akili,sasa safari hii sijui Mkapa atakimbilia wapi
 
kama lowasa ndo alihusika sasa ndo muda muafaka kumuuliza huko ukawa
 
Huyo waziri aliyenyamazishwa hebu nae aseme, lakini nakumbuka sheri ya nchi haiwezi mfunga rais akiwa madarakani au nje ya madaraka, niliwahi msikia lisu akisema
 
Jumamosi tutasikia mengi makali.. CCM ikae mkao wa kunyolewa bila ganzi.
 
nasikia mkapa ameanza kuwa tumbo joto baada ya kuambiwa kila atapopita lazima kamanda Vincent Nyerere naye aende na hilo zoezi litaanzia jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni

Ameyataka mwenyewe
 
Mkwapa Hauwezi Kutoa Kauli Njema Zaidi Ya Harufu Mbaya Itakayochafua Hali Ya Hewa
 
Du! Kumbe huyu jamaa (Mkapa) alikuwa ana yake mengi kuliko tuliyoyafahamu.Tutajua mengi zaidi ya haya
Mungi Ibariki Tanzani na CDM kwa kutufumbua macho

Kama upo hai basi huu ndio wakati wa kujua mengi😂
 
Back
Top Bottom