Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

siku ya kikao cha ccm sijui wanaita nec....lowasa aliposimama na kumnyooshea kidole kikwete na akasema ''kama mwenyekiti unabisha tumuite balali aje ili Mungu wa eliya na yakobo ajulikane, maana itachukua masaa 24 tu kwa babali kufika hapa''..unadhani lowasa alikuwa anatania? ni baada ya sentesi hiyo mkapa aliogonga meza na kumuomba mwenyekiti(kikwete) aahirishe hoja ya kuvuana gamba ......unadhani ni kwa nini mkapa aligonga meza?......ninayemzungumzia ni daudi balali na jana ameondoka hapa meryland....

Mkuu unaweza ukatusaidia ukampiga picha na ukatuletea Hapa??????? Utakuwa umelisaidia sana taifa letu mkuu, chondechonde!!!!!!
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki(Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu,huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia,alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa(kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii Forums

Ni vizuri akamwaga yote, Kumbe si kila king'aacho ni dhahabu, nadhani ni vyema Mkapa akapumzika kisiasa ili aweze endelea eshimika kama ilivyokua awali.Pia ni vyema tukaendelea kuupata ukweli kwani V.Nyerere katokea kwenye familia ya Akina Nyerere.
Badae ntarudi kuona uhondo wa mjadala.
 
Mkuu, dahh, siku nyingi unajua tena. Asante kwa kunikumbusha kwani nakumbuka alikuwa ni Secretary of State Mwanamke wa USA ambaye siku hizo alikuwa ni Mama wa Ki-Czech, Madeline Albright.

Uko sawa kabisa na nakumbuka akisema ".... I have called Ministry of External Affairs of Tanzania, Jakaya Kikwete...."

Msiba ulitokea akiwa Kenya na kabla hajarudi USA, akaja kwanza kwenye mazishi na ndiyo akarudi. Unajua hili jina la Clinton limekuwepo sokoni kwa muda mrefu sana kama Bush family wanavyotesa USA wakishirikiana na Kenedy ambao naona wamepumzika sasa.
Hey Sikonge, siwezi kukulaumu kuhusu kutopata habari on time. Hata mimi naonekana kama nilipitwa na habari kwenye BBC or CNN wakionyesha Mama Clinton kwenye huo msiba. Mie nilidhani yule mama alikuwa Madeleine Albright aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa US wakati hu!!
 
siku ya kikao cha ccm sijui wanaita nec....lowasa aliposimama na kumnyooshea kidole kikwete na akasema ''kama mwenyekiti unabisha tumuite balali aje ili Mungu wa eliya na yakobo ajulikane, maana itachukua masaa 24 tu kwa babali kufika hapa''..unadhani lowasa alikuwa anatania? ni baada ya sentesi hiyo mkapa aliogonga meza na kumuomba mwenyekiti(kikwete) aahirishe hoja ya kuvuana gamba ......unadhani ni kwa nini mkapa aligonga meza?......ninayemzungumzia ni daudi balali na jana ameondoka hapa meryland....

nimewai kusikia kauli nyingi za lowassa kuhusu mwenyekiti wake.... lakini ya kuhusu kumwita balali tena ndani ya saa 24 akapatikana. hii kama imewai kutolewa kwenye nec ya kuvuana magamba inaweza kuwa kubwa kuliko zote....
 
..yaani Mkapa akienda nje ya script ni bomu kwelikweli.

..sasa ina maana anamkana Josephat Kiboko Nyerere[baba yake vicent], mdogo wake Mwalimu Nyerere?

..Mkapa huyuhuyu aliyekuwa akijidai ni mwana ukoo wa kina Nyerere?
 
wanajf bwana!akili zenu.............!kwahyo mkapa ndo alimuua nyereqe?aliwaonga waingereza madaktar kumua mwl!?wanajf tutumie busara jaman,kwl mkapa amuue nyerere?mwl alkuwa baba wa taifa,kwl daktar wake ndo alipaswa kuripoti ugonjwa wake kwl ?mkapa kama binadam kwl mumuzungumzie kwnye hayo mambo ya ufisadi lkn ktk ili la khcka na kfo cha mwl HAPANA,ALIFANYA ALICHOWEZA KUOKOA AFYA YA MWL,tuwe makni jaman

Sijawahi kuona kilaza kama wewe aisee hiv unafikiria kwa kutumia nini? Na wewe wajiita Great thinker?
 
wengi wanajua mkapa alimuua mwalimu. sasa kazi kwake, badala ya kutulia, yeye kaweka kimbelembele. naona Adam Malima anacheka kwani atapumzika wiki hii

Kumbe hata wewe ulikuwa unajua...:wink2:
 
I always sensed that Mwl Nyerere was killed by the establishment...now i have started to get more clarity!
 
Mshaurini Vicent Nyerere aachane na hizo siasa. Hoja kuu ambayo alitakiwa kuisimamia ni kwamba Vicent Nyerere hajawahi ku-claim mahali popote pale kwamba yeye ni mtoto wa Marehemu Mwalimu Nyerere. Kwa hiyo, claim ya Mkapa ilikuwa baseless na haiwezi ku-hold maji na hizo ndio siasa za maji taka, watu wanaacha hoja halafu wanakijita kwenye kuzua vijambo na vijimambo.

Discussion za chanzo cha kifo cha Mwalimu Nyerere kwa sasa haziwezi kuwasaidia CHADEMA ili washinde huko Arumeru Mashariki. Mjadala huo kwa sasa hauna msaada wowote kwa wananchi wa Arumeru ambao wana matatizo ya Ardhi na Maji, pamoja kukosekana kwa ajira kwa vijana.

Focus ya Kampeni ya CHADEMA iwe ni kwenye kero za wananchi wa Arumeru. Ili kumgonga vilivyo Mkapa na Chama chake, matatizo ya maji na ardhi hayajaanza leo wala juzi, yapo kwa miaka mingi sasa. Je, Mkapa akiwa Rais ina maana hakuyajua hayo matatizo, kama aliyajua, kwanini hakuyashughulikia? Kikwete yuko madarakani mwaka wa 7 sasa, je hajapelekewa hayo matatizo au hajui hayo matatizo? Je, wananchi watakuwaje na imani kwamba Mkapa akienda kumwambia Kikwete matatizo ya maji na adhi atayatatua na ilihali amekuwa madarakani kwa miaka 7 na matatizo yako pale pale?

Iwapo Mzee Sumari (RIP) alishindwa kusaidia kutatua matatizo ya Arumeru Mashariki akiwa Naibu Waziri wa Fedha (sehemu ya serikali ya chama tawala), je leo hii mwanae ndio ataweza kuyatatua? CCM kimebaki kuwa ni chama cha kuweka ahadi hewa bila kutimiza. Hapo ndio CHADEMA inatakiwa kusimamia kwa kuwa ndo ukweli wenyewe na wananchi wanajionea. Wakumbusheni kwamba hata Igunga ambako CCM walishinda uchaguzi mdogo, zile ahadi zote za CCM zilizotolewa kwa wana Igunga ikiwemo ya kujengewa daraja hazijatimizwa hata moja!

una hoja lakini haina uzito...daraja igunga limeisha na hatuwezi kuachia nafasi kuongelea jambo muhimu kama la baba wa taifa na ambalo linaipa cdm ujasiri mbele ya wananchi..lazima wananchi wapate sauti ya kuongelea mambo kama haya na haimati ni wakati wa uchaguzi mdogo, mkubwa au la..hii ndiyo maana ya kua na sauti mbadala ya wananchi
 
Mtanzania,
Ugonjwa wa Nyerere ulijulikana mapema. Nimekutana naye NY baada ya check up akaniambia aliloambiwa na daktari wake. Zaidi ya hapo kwa sasa siwezi kusema zaidi. Ama dakta Mwakyusa alikuwa mzembe au kwa makusudi hakupenda kufuatilia hali ya Mwalimu Nyerere. Hata pale alipozidiwa alipaswa kupelekwa NY na si London na Mwakyusa alipaswa kulifahamu hilo. Marekani walikuwa advanced katika mambo ya leukimia kuliko Uingereza. And that is a fact.

Mkuu Jasusi,
Ukisema kulikuwa na uzembe katika kushughulikia ugonjwa wa JKN nitakuelewa kabisa maana huo uzembe hata kwenye mambo ya maana ndio donda ndugu yetu sisi Watanzania. Lakini hilo ni tofauti kabisa na kusema Mkapa alifanya njama kumwua JKN.

Hilo la kwamba je angepona angepelekwa USA? Ni ngumu sisi kujua maana kwanza hospitali aliyolazwa Nyerere hapa London ni moja ya best hospitals za serikali, hivyo kama kuna tiba ya maana ya cancer hapa duniani ningetegemea hiyo hospital wawe na taarifa nayo hasa ukizingatia kwamba JKN alikuwa anatibiwa kwa kulipia. Hivyo hata dawa ambayo NHS hawajaidhinisha kutumika, kama inafaa wangempa gharama zake na kuitumia.

Pia nina mfano mwingine ambapo Director wetu wa Lucent Technologies hapa UK alikuwa Mmarekani. Jamaa alikuwa mtu muhimu sana kwa Lucent wakati huo. Ghafla tu tukasikia amegundulikana na cancer. Kampuni walijitolea kulipia matibabu gharama yoyote ile. Baada ya miezi mitatu akafariki, huko huko USA. Cancer ni ugonjwa tofauti, inategemea umegundulika ukiwa hatua gani, vinginevyo hata uwe kwenye hospital gani utaondoka tu.

Hilo la kuchelewesha kumleta nje kumtibu nitakubaliana na wewe kwa asilimia 100 maana cancer hata kuchelewa mwezi mmoja tu inaweza kuwa issue.
 
Dr. Mwakyusa naye anatakiwa kukaa mkao wa utayari all the times. Ninavyoamini hii issue ikishika kasi kwenye jamii, Mwakyusa ataanza kutafutwa kunyamazishwa kama yule dada aliyekwenda kumhudumia Dr. Mwakyembe pale wizarani. Alinyamazishwa within muda mfupi wakijua atamwaga ugali. Mwakyusa, be careful out there hii dhambi itawatafuna sana.

yule dada ni marehemu..hiki ndiyo kinachomtisha Dr hata kurudi wizarani kufanya kazi...Dr mwankyusa alihusika na kifo au sumu ya nani tena?
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki(Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu,huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia,alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa(kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii Forums
Dah nilikua nahisi ni mr.clean kumbe walewale
 
Mwalimu Nyerere baada ya kumnadi Mkapa nchi nzima mwaka 1995, hangeweza kumgeuka na kumsema hadharani bila kwanza kuongea naye "one to one" Matokeo ya mazungumzo hayo ya "one to one" ni kupitishwa kwa hukumu ya kifo! Mkapa ilikuwa awe "one term president" lakini waswahili husema "ujanja si kuwahi, ni kupata" Kabla ya 2015, tutashuhudia mengi watanzania.

Mwalimu mwaka moja kabla ya kifo chake alifanyiwa check up ya afya yake na alikuwa 100% fit. Ndio maana wakati wa tafrija kwenye birthday party aliofanyiwa Diamond Jubilee hall alisema ana hakika angeushuhudia uchaguzi wa mwaka 2000, manyang'au yakagutuka...!

Nawaomba wenye miaka chini ya 32 mkae kimya kwenye huu mjadala, unawazidi kimo! Alipong'atuka Mwalimu ulikuwa una miaka chini ya mitano na wakati anafariki ulikuwa hujafikisha miaka 18, unajua nini kumhusu Mwalimu? Watu kama Mkapa ni wa kutumiwa, peke yao ni makapi tu!

Mkapa asijaribu kufungua pandora box, watu wako kimya kwa kumtukuza Baba wa Taifa, hakutaka katu jina lake litumiwe kulisambaratisha taifa. Lakini wapo waliojaribu sana kwa kumchafua, wameshindwa na badala yake wamebaki wanatumia jina lake kinafiki kama boya la kujiokoa maji yanapowafika shingoni. Tatizo liko laana moja tu linawaandama bila huruma, dunia ya leo si ya jana.
 
Mkuu Mtanzania,

Hapo kwenye bold naomba kutofautiana na wewe kwenye hilo. Inategemeana ni case ya namna gani. Nilisoma kitabu cha mauaji ya Lumumba, more than 40 yrs later watu ndio wanakuja kukiri wazi wazi kwamba walienda na sumu DRC kwa malengo ya kummaliza Lumumba.

Kwa hawa wenzetu wazungu ukishaonekana ni mwiba kwenye maslahi yao, serikali zao ziko tayari kufanya lolote lile na hata kupindisha sheria ili wakumalize na biashara iishie hapo then maslahi yao yabaki salama. Tuseme ukweli, Nyerere alikuwa mwiba wa Globalization, hakuwa tayari kuona Tanzania inaingia kichwa kichwa bila ya maandalizi ya kutosha. Tumeingizwa kwenye globalization kichwa kichwa baada ya kuliwa ndo serikali inakuja kukiri kwamba hakukuwa na maandalizi ya kutosha na aliyetuingiza ni Mkapa huyu huyu.

Mkapa alikuwa Mwenyekiti Mwenza wa Globalization, akishirikiana na Tony Blair. Radar ilikuwa ni kashfa kubwa sana, lakini SFO wamekubali yaishe na kuimaliza kimya kimya. Sasa niambie kigezo cha SFO kufunika kombe ili mwana haramu apite [kulinda serikali yao] ndio madaktari watashindwa kufunika kombe?

Tuje na logic nyingine, lakini hizi za kusema wazungu/serikali za nchi za Magharibi hawawezi kufanya hiki au kile, hizo ni politics, wanacholinda na kutunza ni maslahi yao na si kingine. Ndo maana Charles Taylor amewaumbua wa-Marekani kwa kusema yeye [Taylor] alikuwa agent wa CIA na hivyo wakati anafanya yale madudu aliyoyafanya alikuwa na full support ya US. Siku zote US imekuwa ikikana kwamba hakuwahi. Majuzi hapa serikali imekiri na ikasema haiwezi kutoa more details on the subject. Ndio unakuja kushangaa kwamba Taylor alitoroka kwenye gereza ambalo lina maximum security hapa US, alichomokaje gerezani?
Mkuu Keil,

Nafikiri unajua tofauti ya mifano uliyotoa na hii ya JKN. Hawa Wazungu ni wabaya sana wanapolinda interests zao hasa kwa mtu aliye nje ya miapaka yao ambayo sheria zina msumeno.

Najua unajua wazi ukiwa ndani tena kwenye hospitals za NHS sio rahisi kufanya hayo unayoyasema. Labda mtu ambaye hakai hapa ataelewa hizo stories.

Any way hata ni ngumu kujadili jambo ambalo watu wengi wanaweza wasielewe tunaongelea nini. Nina uhakika madaktari wote wale wa NHS waliokuwa wanamtibu Nyerere, wasingeliweza kuficha hujuma zozote juu ya ugonjwa wake.

Bahati nzuri Jasusi ameshasema ugonjwa wa Nyerere ulikuwa unajulikana mapema, hivyo hata kujadili hili ni kupoteza muda tu.
 
Mkuu Jasusi,
Ukisema kulikuwa na uzembe katika kushughulikia ugonjwa wa JKN nitakuelewa kabisa maana huo uzembe hata kwenye mambo ya maana ndio donda ndugu yetu sisi Watanzania. Lakini hilo ni tofauti kabisa na kusema Mkapa alifanya njama kumwua JKN.

Hilo la kwamba je angepona angepelekwa USA? Ni ngumu sisi kujua maana kwanza hospitali aliyolazwa Nyerere hapa London ni moja ya best hospitals za serikali, hivyo kama kuna tiba ya maana ya cancer hapa duniani ningetegemea hiyo hospital wawe na taarifa nayo hasa ukizingatia kwamba JKN alikuwa anatibiwa kwa kulipia. Hivyo hata dawa ambayo NHS hawajaidhinisha kutumika, kama inafaa wangempa gharama zake na kuitumia.

Pia nina mfano mwingine ambapo Director wetu wa Lucent Technologies hapa UK alikuwa Mmarekani. Jamaa alikuwa mtu muhimu sana kwa Lucent wakati huo. Ghafla tu tukasikia amegundulikana na cancer. Kampuni walijitolea kulipia matibabu gharama yoyote ile. Baada ya miezi mitatu akafariki, huko huko USA. Cancer ni ugonjwa tofauti, inategemea umegundulika ukiwa hatua gani, vinginevyo hata uwe kwenye hospital gani utaondoka tu.

Hilo la kuchelewesha kumleta nje kumtibu nitakubaliana na wewe kwa asilimia 100 maana cancer hata kuchelewa mwezi mmoja tu inaweza kuwa issue.

Wala sio kansa, mimi naamini siku zikiwa zimefika hata usingizi unakuondoa.
 
Mkuu,
Taratibu hiyo kashifa ya SFO ni serikali ya wapi iliyochunguza hilo, ama ni serikali gani ambayo imetuwekea wazi huu ufisadi?

Mkuu MkamaP,

Tatizo la Keil kachanganya mambo mengi mno kwenye post yake kiasi kwamba ni ngumu hata kuijadili.

SFO hawakuamua kuilinda BAE ili kuiokoa serikali, wao walikuwa wanaokoa ajira za Waingereza. Kama nilivyoandika toka mwanzo inapokuja interest ya hawa wazungu na sisi huko kwetu, watatumia kila sheria kulinda interests za kwao, hilo wala halina ubishi.

Laiti BAE wangehukumiwa mahakamani kuhusika na ufisadi, wangefungiwa kufanya biashara hapa Europe na USA na huo ndio ungelikuwa mwisho wa BAE.

Ili kulinda kampuni yao na ajira za watu wao, SFO wakaona njia pekee ni kufanya makubaliano na BAE kukiri kosa dogo la kupoteza nyaraka na kulipa.

Lakini hili ni tofauti na kuumwa kwa Nyerere. Huyo JKN alikuwa na interests zipi kwa waingereza mwaka 1999 mpaka hata NHS yote ifumbue macho hujuma katika ugonjwa wake? Tunasahau kwamba hata Nyerere alipokuwa rais na anapambana na akina Thatcher bado alikuwa na uhusiano na Waingereza wengi tu akiwemo yule personal secretary wake Ms. Joan Wicken.
 
Wazazi hii ngoma nzito wapi Ben baba siasa za miaka hii kaa mbali hawa madogo watakuchana mwanzo mwisho,Mzazi
 
Mkuu Jasusi,
Ukisema kulikuwa na uzembe katika kushughulikia ugonjwa wa JKN nitakuelewa kabisa maana huo uzembe hata kwenye mambo ya maana ndio donda ndugu yetu sisi Watanzania. Lakini hilo ni tofauti kabisa na kusema Mkapa alifanya njama kumwua JKN.

Hilo la kwamba je angepona angepelekwa USA? Ni ngumu sisi kujua maana kwanza hospitali aliyolazwa Nyerere hapa London ni moja ya best hospitals za serikali, hivyo kama kuna tiba ya maana ya cancer hapa duniani ningetegemea hiyo hospital wawe na taarifa nayo hasa ukizingatia kwamba JKN alikuwa anatibiwa kwa kulipia. Hivyo hata dawa ambayo NHS hawajaidhinisha kutumika, kama inafaa wangempa gharama zake na kuitumia.

Pia nina mfano mwingine ambapo Director wetu wa Lucent Technologies hapa UK alikuwa Mmarekani. Jamaa alikuwa mtu muhimu sana kwa Lucent wakati huo. Ghafla tu tukasikia amegundulikana na cancer. Kampuni walijitolea kulipia matibabu gharama yoyote ile. Baada ya miezi mitatu akafariki, huko huko USA. Cancer ni ugonjwa tofauti, inategemea umegundulika ukiwa hatua gani, vinginevyo hata uwe kwenye hospital gani utaondoka tu.

Hilo la kuchelewesha kumleta nje kumtibu nitakubaliana na wewe kwa asilimia 100 maana cancer hata kuchelewa mwezi mmoja tu inaweza kuwa issue.

mwalimu hakupenda kutibiwa london (st thomas)....mzee alikataa kabisa na nakumbuka siku hiyo butiama mkapa alipokwenda kumsalimia mwalimu...mwalimu hakupokea mkono wala salamu ya mkapa....mwalimu alimuuliza swali moja mkapa'' leo ndo umejua kuwa ninaumwa?......mkapa akajitetea kuwa alikuwa na kazi nyingi akaongeza kwa kusema nimepanga utaratibu ukatibiwe london...mwalimu akakataa kabisa ..mkapa akasisitiza mwalimu akagoma...ndipo binti zaek mwalimu wakaingilia kati kumshauri mzee...mwalimu alitaka kwenda new york maana mwaka 1998 alikwenda huko na kufanya chek up na afya yake ilikuwa safi ....

siku anakwenda wingereza pale uwanja wa ndege mwalimu alikuwa mwenye nguvu za kutosha na bada ya kuongea na waandishi wa habari alipanda ngazi za ndege akiwa anakimbia na alipofika pale juu aligeuka na kuwapungia mkono watz....

wakati mwalimu anapelekwa wingereza hiyo hosp haikuwa specialized kwenye magonjwa hayo.....halafu ni kwa nini hawakumpeleka hosptila moja kwa moja bada yake wakamuweka hotelini hadi alipozimia ndo wakampeleka hapo st.thomas?......

mkuu ''mtanzania hili swala la ugonjwa wa mwalimu naomba niseme kuwa hulijui kwa undani......kifo cha mwalimu kilijaa utata sana...halafu hivi unajua ni kwa nini kingunge alikwenda london?
 
Mwalimu Nyerere baada ya kumnadi Mkapa nchi nzima mwaka 1995, hangeweza kumgeuka na kumsema hadharani bila kwanza kuongea naye "one to one" Matokeo ya mazungumzo hayo ya "one to one" ni kupitishwa kwa hukumu ya kifo! Mkapa ilikuwa awe "one term president" lakini waswahili husema "ujanja si kuwahi, ni kupata" Kabla ya 2015, tutashuhudia mengi watanzania.

Mwalimu mwaka moja kabla ya kifo chake alifanyiwa check up ya afya yake na alikuwa 100% fit. Ndio maana wakati wa tafrija kwenye birthday party aliofanyiwa Diamond Jubilee hall alisema ana hakika angeushuhudia uchaguzi wa mwaka 2000, manyang'au yakagutuka...!

Nawaomba wenye miaka chini ya 32 mkae kimya kwenye huu mjadala, unawazidi kimo! Alipong'atuka Mwalimu ulikuwa una miaka chini ya mitano na wakati anafariki ulikuwa hujafikisha miaka 18, unajua nini kumhusu Mwalimu? Watu kama Mkapa ni wa kutumiwa, peke yao ni makapi tu!

Mkapa asijaribu kufungua pandora box, watu wako kimya kwa kumtukuza Baba wa Taifa, hakutaka katu jina lake litumiwe kulisambaratisha taifa. Lakini wapo waliojaribu sana kwa kumchafua, wameshindwa na badala yake wamebaki wanatumia jina lake kinafiki kama boya la kujiokoa maji yanapowafika shingoni. Tatizo liko laana moja tu linawaandama bila huruma, dunia ya leo si ya jana.

Ha ha ha ha
KWa hiyo unawapiga biti, kama kweli Mkapa alimuuwa na mkafahamu ninyi vijeba na mkaa kimya na leo ktk uchaguzi ndo mnakuja kulipua basi ninyi vijeba ni wanafiki wa kutupwa hamtakiwi ktk uso wowote wa dunia hii.
 
Mkuu MkamaP,

Tatizo la Keil kachanganya mambo mengi mno kwenye post yake kiasi kwamba ni ngumu hata kuijadili.

SFO hawakuamua kuilinda BAE ili kuiokoa serikali, wao walikuwa wanaokoa ajira za Waingereza. Kama nilivyoandika toka mwanzo inapokuja interest ya hawa wazungu na sisi huko kwetu, watatumia kila sheria kulinda interests za kwao, hilo wala halina ubishi.

Laiti BAE wangehukumiwa mahakamani kuhusika na ufisadi, wangefungiwa kufanya biashara hapa Europe na USA na huo ndio ungelikuwa mwisho wa BAE.

Ili kulinda kampuni yao na ajira za watu wao, SFO wakaona njia pekee ni kufanya makubaliano na BAE kukiri kosa dogo la kupoteza nyaraka na kulipa.

Lakini hili ni tofauti na kuumwa kwa Nyerere. Huyo JKN alikuwa na interests zipi kwa waingereza mwaka 1999 mpaka hata NHS yote ifumbue macho hujuma katika ugonjwa wake? Tunasahau kwamba hata Nyerere alipokuwa rais na anapambana na akina Thatcher bado alikuwa na uhusiano na Waingereza wengi tu akiwemo yule personal secretary wake Ms. Joan Wicken.

sasa mbona huko nyuma ulikuwa unawateta na kusema ni watu makini??
 
Back
Top Bottom