Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Naishi dar ila Namfaham laswai kama wakala ya sukari ya zakaria (haruna) na pia kama tajiri pekee anayekuwa na hard cash muda wwte hata 10m USD , kwahyo sio mtu mdogo muulize Jakaya anamfaham vyema

Wewe sio wa kuniambia hizo mishe za Laswai njua mbaya kabisa,mimi ndio natakiwa nikueleze wewe khs mishe zake.

Kuna sehemu nilisema Laswai ni mtu mdogo?
 
Vincent Laswai pia ni mmiliki wa Kilimanjaro Luxurious homes zilizoko kule shanty town Moshi., ziko kwenye mtaa wenye jina lake..
cc jmushi1 , Frank Wanjiru Wyatt Mathewson
View attachment 1032934
View attachment 1032935
View attachment 1032937
Kilimanjaro Luxurious Homes Shanty Town Vincent Laswai Streets Moshi
Picha ya pili kutoka chini ni nyumbani kwake mwenyewe!! Mkuu kuhusu yeye kuwa mmoja wa wakurugenzi ni kweli! Ila waliowekeza pale kwa sasa ni wakenya!! Unaweza kupewa ukurugenzi ndani ya bodi kwa heshima tu au kwa kuona uzoefu wako kwenye biashara husika pamoja na kuwa keep wateja wa zamani!!
 
Hata Moro pale Dar road kuna Kibo Palace, ni ya kwake pia? Jiwe atapata taabu sana kwenye uongozi wake, na hapo 2020 bado!
 
Wale waliosema tuisome No wajue hawa wafanyabiashara wakubwa wakiumia ni shida kwa wote
 
Back
Top Bottom