Vimbwanga na vituko vya boss wetu

Duh dharau sema Yana hela ukilibutua Hindi unaishia korokoroni
 
Ile ofisi yule mpuuzi alikua hajui lolote ameachiwa kampuni na baba yake yeye ni lawama mwanzo mwisho na kusema hivi wewe ni nini kimekuleta hapa maan hufai kabisa. Watu wa tender ndo tulikua tunanyooka mkiikosa tender basi team nzima hamna akili kwa sababu qutation imekua too low au kubwa na mkiwin tender analalamika pia mngeeka bei kubwa.
 
Rafiki yangu alimchapa makofi mkurugenzi wa halmashauri anayofanyia kazi, mkurugenzi akamwambia kuanzia kesho Hana kazi tena.
Siku hiyo hiyo magufuli akamtumbua mkurugenzi

Huyp rafiki yako ana nyota kali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mmiliki na tajiri pia.
Ni Aina flani ya watu wa kuingilia majukumu yote.
Nb.
Wanajf sijawaambia.
Jamaa Hana mke. Walishaachana tokA 2007 huko.
Kwahiyo Ni single boy

Anafanana na wangu aisee anaingilia kila kitu akiamua kuharibu anaharibu kila kitu muanze upya
 
Mchunguze vizuri boss wako atakua na afya ya akili
 
😂😂😂Weeeh ikawaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…