- Thread starter
- #81
Huo ni uandishi tu mkuu wa namna ya kusocialize na hadhira usiyoiona. Uanaume hauhusiani chochote na Hili. Hasa kwa namna ya uandishi Hapa.Kuwa mwanaume kazi sana. Hasa Tanzania.
Huo ni uandishi tu mkuu wa namna ya kusocialize na hadhira usiyoiona. Uanaume hauhusiani chochote na Hili. Hasa kwa namna ya uandishi Hapa.Kuwa mwanaume kazi sana. Hasa Tanzania.
HarmonisiAmelowaaaaa amelowaaaa amenyeshewa na mvuaaaaaaaa'
Jitahidi mkuu. Inaskitisha kuona unanyanyasika licha ya kuwa mwenye nidhamu BoraAcha nijtahd niwe na tabia njema kwa vijana wangu wanaonisaidia majukumu...
Huyo jamaa kanishangaza sana.Huo ni uandishi tu mkuu wa namna ya kusocialize na hadhira usiyoiona. Uanaume hauhusiani chochote na Hili. Hasa kwa namna ya uandishi Hapa.
Hii akili ndo ilifanya bro wangu agome kwenda kwenye mradi mmoja funded na USAID kwa miaka mitano kisa hataki stress private sector ,akaamua kunikonnect na rafiki yake mzee wa kujilipua nikamrecommend akapata ile kazi. Saizi bro anajuuuta na ye ndo kajaa stress wakati mwenzake bata daily. Hata afanye kazi miaka 100 hamfikii mwenzakeSerikalini hakuna huo upumbavu, yaani msimamizi wa kazi na chawa wake unawashiana nao moto na fakini za kufa mtu.
Usirushe ngumi tu, hapa hata majaliwa au mpango akirusha kofi anatumbuliwa yeye.
Boss wetu.-Mkuu wetu wa kazi.Mwanaume unaandika bwanaa wee
Mwanaume unaandika boss wetu
Hilo neno boss wetu wanatajaga kina dada huwezi ongea na simu kwenye usafiri wa umma useme boss wetu huko mkoa nilipo wataomba no zako
That's highest level of EQ ambayo wengi wanaikosaNina roho ya uvumilivu na kupuuza sana, sidhani kama hao mabosi wenu wataweza kunikosesha amani wakati Mungu yupo na katupa mbususu na gambe za kuliwaza.
Huyu pia aonekana hata vitabu vya hadithi za mapenzi vilivyoandikwa na wa kiume hajasoma.kwa mfanoAcha kuishi kwa mitazamo
Duh poleni mkuuBoss wangu alikuwa na chawa wake yaani mkiwa mnafanya kazi si kuna ile mood inakata ya kufanya kazi unapumzika basi chawa anapiga simu kwa boss then boss anapiga kwa hr kuwa huyo alie pumzika mwambie haludi nyumbani akapumzike
Akija sasa unaaza kuchambwa mpaka mda wa kazi unaisha ndio unaachiwa huru![]()
Mwamedi gani Tena huyoSiyo mwamedi huyo???
Ndo hivyo mkuu Hali mbaya uchumi mgumuHuyo ni mgonjwa wa akili
Kazi sana kukaa na watu design hizi..
Na huwezi kuendelee kamwe ukiishi nao.
Wapi . TukumbusheDah umenikumbusha mbaliiiii![]()
We mbabe sanaMi kichwa panzi sipend kupelekeshwa , ndo maan nimejiajiri mambo ya maboss sitaki uo upuuzi, nilikuwa nafanya kazi sehem msimamiz alikuwa na matusi mbona alifurahi, siku iyo kaandaa kila kitu anasubir mfanyakazi wake mi nkamwambia fanya mwite mama ako mje msaidiane,
Sawasiwezi kazi ya private mimi bora nibaki zangu govt tunavumiliana
Ni mmiliki na tajiri pia.Huyo bosi wenu ni kwamba yeye ni msimamizi wenu au yeye ndie mmiliki wa ofisi?
DuhBoss wetu ni kiongozi wa dini, yeye naweza kumfanisha na late Magufuli hashauriki, hambiwi kitu , watu wote ni wajinga kwake. Mkali asiye elezeka
Binafsi nashukuru kukutana nae maana hapo kabla mimi na dini ilikua damu damu ila baada ya kukutana na huyu mheshimiwa sana kiongozi wa kanisa ndio nikajua dini ninini.
Uzuri alishawahi kutuambia hakuna pepo wala jehenamu wala kiyama.
Ha ha tushazoeaMnataka kuniroga ehh! Basi niwaambieni tu sirogeki mi ndo ....( Anataja jina lake). Na kufa sifi mpaka mungu apende. Kenge nyie.
![]()
Kiswahili hakina neno mojamoja la kuwasilisha ujumbe mrefu. Eg bossulitaka aandike vipi ndiyo aonekane yeye kidume?
ShukraniPoleni sana