Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,431
- 96,808
Ma jobless hatuna la kusema
Nani msomi Sasa hapa
UlinisomeshaWewe
Huyo ni mgonjwa wa akiliKiufupi boss wetu Ni mswahili originally.Asikuone unaongea na simu utaskia ulikua unaongea na Nani mda wote huu kilugha? Mnataka kuniroga ehh! Basi niwaambieni tu sirogeki mi ndo ....( Anataja jina lake). Na kufa sifi mpaka mungu apende. Kenge nyie.
Dah umenikumbusha mbaliiiii😅😅😅😆😆😆Boss wangu wa zamani alikuwa anafanya nalia kila siku kikaoni asubuhi maana nina machozi ya jirani. Hasira zangu mimi mpaka nilie so akituchamba naishia kulia kazi zinaendelea.
Kikao ni kila siku asubuhi 8:30 - 9:00 ila siku akiamua kutusema mtatoka kikaoni saa 12. Hapo akija mteja kupata huduma anainuka mmoja anahudumia akimaliza anarudi kwenye kuchambwa.
Ila i miss him pamoja ya yote ana roho nzuri sana na huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kazi ya private mimi bora nibaki zangu govt tunavumilianaWanajf bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amyna.
Maisha ni safari ndefu sana tena sana. Watoto wa kisasa wakisikia kua uyaone wao hudhani ni maparachichi na machungwa watayaona.
Lakini duh utu uzima ni mzigo. Na hili lazima niliseme wazi. Nina miaka 42 sasa. Historia yangu si nzuri sana hadi leo ninaishi. Ni mungu tu muokozi wetu anisaidia.
Ni miaka nane sasa toka nipate kazi katika ofisi flani hapa mkoani. Hawanilipi fedha nyingi but zinanisaidia kusogeza siku katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi mi na mwanangu. Lakini bwanaa wee boss wetu Ni shabiki kindakindaki wa club ya Simba.
Huwezi amini hao Simba wakifungwa humu kazini ni vimbwanga na vituko. Siku moja Simba kafungwa basi kadamkia kazini saa 11:00 alfajiri kapaki gari. Bwana we mbona tulikoma hivyo vitimbi. Kwa kawaida mda wa kazi ni sa 1:30 uwe umefika.
Haya Sasa hiyo siku aliyowahi hivyo wote tuliochelewa akatuita ofisini kwake na kutuambia kwanzia leo nyie ndo maboss na mimi ni mfanyakazi wenu.Akaniita Selason ( Mimi huyo)we ndo meneja, huyu sijui not utakua hivi na vile. Mara hivi na vile.
Mi coz ndo mkubwa kiumri nikaomba msamaha basi akatusamehe kwa sharti Kwamba tusirudie Tena . Sasa basi hiyohiyo siku akaingia jikoni Kuna mpishi wake maalum katika eneo hili la kazi. Hakumkuta sijui kaenda wapi kuchukua sijui tangawizi sijui nini huko mtaani.
Basi akaingia jikoni hajamkuta. Cha ajabu kwa hasira akaanza kuosha vyombo na kugusa hiki na kile cha jikoni humo. Oya nyie anakera kichizi basi tu.
Mpishi anarudi anamkuta boss asuuza vyombo. "Hivi we mpumbavu kwanini vyombo Ni vichafu hivi. Unakuwaga wapi nakulipa hela ya bure kupika yenyewe hujui" akapayuka. Basi kamfukuza Yule dogo. Siku hizi pakula Hana humwaguza bodaboda mmoja alete chakula coz tuko nje kidogo ya mji.
Juzi Kati Simba walidraw na Yanga wakashinda . Asubuhi kapaki ndinga anakagua ofisi zake uso umefura kwa hasira. Anakagua akute kosa tu apayuke makelele. Kaingia ofisi ya sekratari mtoto mwenyewe mpole hana muda hapa kazini basi kaanza makelele.
Yule mtoto kumbe hanaga uvumilivu kaanza kumchana boss kwamba asimzoee kumpigia kelele mungu ndo mtoa ridhki. Usinitishe we mzee halafu nakusikiaga mi so kama hao uliowafanya miskule ( eti ndo sisi) . Unajua akamjibuje . Hunijui utanifahamu. Dogo kamwambia eti kwendraaaa nikacheka ka chizi kuona hivyo.
We bwana wakati nacheka (ofisi zinatizamana) kumbe kaniona akanifata. Akaniambiaje eti we mzee kwenu hamna wakubwa. Mtoto ananidhalilisha we unacheka. Tutaonana mwisho wa mwezi utaondoka. Ndo hivyo mi nasubiri liwalo na liwe.
Ukitaka awe rafiki yake ukimuona asubuhi uanze kumchekeachekea na kumsifia Kwamba ye ndo kidume Yanga hamna kitu Simba ndo baba lao.
Humu ndani ana wambeya wake yaani chawas mmoja huitwa mchina (si jina lake halisi) na mwingine Yeremia. Basi hao uongelee wapi usiyaskie kikaoni? Hawana dogo washapeleka.
Juzi Kati mwanae kapata ajali ya gari kwa kugonga gari nyingine. Basi kaombwa laki nne amlipe aliyegongwa. Hasira za mwanae akahamishia kwetu.
Kiufupi boss wetu Ni mswahili originally.Asikuone unaongea na simu utaskia ulikua unaongea na Nani mda wote huu kilugha? Mnataka kuniroga ehh! Basi niwaambieni tu sirogeki mi ndo ....( Anataja jina lake). Na kufa sifi mpaka mungu apende. Kenge nyie.
Duh ndo hivyo bwana vimbwanga vya boss wetu. Tuhadithiane vimbwanga vya maboss wenu huko tuskie wote au sio wana jf?
Kwaheri.
Huyo bosi wenu ni kwamba yeye ni msimamizi wenu au yeye ndie mmiliki wa ofisi?Wanajf bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amyna.

Na kazi ikaishia hapo Babu....???Kuna siku niliandika msg huyu Boss wangu ni khanithi mshahara mpaka leo hajatoa, sasa wakat nasend nikajikuta nimemtumia Boss badala ya Wife, alaf tulikuwa kwenye kikao pale sub scania, najitahid kuizuia waapi naskia imefika kwake nae akaifungua akaisoma akashusha miwani kisha akatabasamu. Kikao kikaendelea lakini wakati huo mimi jasho linatoka na ndani unyunyu upo wa kutosha tu. Baada ya kikao kwisha ndio Boss akaniuliza kwa hiyo nishakuwa Khanith* sio? Ikabidi tu nimjibu ndio.

ulitaka aandike vipi ndiyo aonekane yeye kidume?Mwanaume unaandika bwanaa wee
Mwanaume unaandika boss wetu
Hilo neno boss wetu wanatajaga kina dada huwezi ongea na simu kwenye usafiri wa umma useme boss wetu huko mkoa nilipo wataomba no zako
Kazi haikuishia hapo lakini baada ya siku kadhaa niliacha mwenyeweNa kazi ikaishia hapo Babu....???![]()
Kwa hio baba yako nae anaandika bwanaa weeulitaka aandike vipi ndiyo aonekane yeye kidume?
baba yangu amefariki 1966 kwa hivyo hizo issue za bwana wee hazimuhusuKwa hio baba yako nae anaandika bwanaa wee