Vimbwanga na vituko vya boss wetu

Vimbwanga na vituko vya boss wetu

Kuna siku niliandika msg huyu Boss wangu ni khanithi mshahara mpaka leo hajatoa, sasa wakat nasend nikajikuta nimemtumia Boss badala ya Wife, alaf tulikuwa kwenye kikao pale sub scania, najitahid kuizuia waapi naskia imefika kwake nae akaifungua akaisoma akashusha miwani kisha akatabasamu. Kikao kikaendelea lakini wakati huo mimi jasho linatoka na ndani unyunyu upo wa kutosha tu. Baada ya kikao kwisha ndio Boss akaniuliza kwa hiyo nishakuwa Khanith* sio? Ikabidi tu nimjibu ndio.
Hahahhaa aisee
 
Boss mmoja aliwahi kutuambia kama hamjafunzwa na mama zetu msitupe matatizo sisi hapa sio sehem ya mafunzo...kuangalia nyuma kuna bi mkubwa anakaribia 55 amekaa. Niliona huruma sana.
Maboss badilikeni
Alikuwa sahihi...😂😂
 
Dah umenikumbusha mbaliiiii
Nimesoma na comment yako nyingine yaani utafikiri tulikuwa ofisi moja. Yaani mtu unaamka asubuhi unawaza kazini kutakuwaje, na msemo wa kuwaka moto ndio ulikuwa maarufu.
Tunapoingia kwenye kikao tunaambizana leo sijui nani atawashiwa moto unakuta kuna mteja alikusemelea kwa boss hali tete.
Sasa ole wenu siku hiyo mauzo ya Cash yawe madogo mtajuta hata kama wateja wa bank mmeuza 100M yeye anachoangalia Cash tuu mpaka tukaanza kuwaomba wateja wasiwe wanalipia bank kuepuka kutukanwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wafanyakazi wa private wengi wnapitia frustration sana,haijalishi ukubwa wa taasisi,nyerere aliweka misingi mizuri ssna ya ajira za serikali kulinda utu wa mtu na ajira,kauli yake maarufu alisema hapendi umungu mtu,yaani mtu ashikilie hatma ya maisha ya mtu,waliobaki miungu wtu wachache serikalini wanaishia kufoka tu unawadharau maisha yanaendelea!!
 
Mbona anafanana na boss wangu alikuwa ana vituko nyie siku akufurahi mtapata raha siku akinuna uwiii atachokonoa vitu ,atachunguza hadi maisha yako binafsi halaf anaanza kukupangia maisha yako binafsi uishu anavyopenda yeye alikuwa na vituko msomali yule
Kipindi cha magufuli anatulazimisha tumpigie kura maguful
Kwanini Rai wa nchi za nje walikuwa wana mpenda Magufuli, sijui walikuwa wana mpendwa nini
 
Nilienda kutengeneza gari kwenye gerage ya muhindi ss nilikua na rafiki yangu pembeni alikua kakaa akitazama ndipo muhindi akaja.
Akamuuliza vipi ww huna kazi?
Rafiki yangu akajibu, Ndy sina.... (Alifikiri kuna kazi ili apewe)
Ndipo muhindi akamwambia njoo huku nikupe kazi
Jamaa akainuka wakawa wanaongozana, mara wakafika mbele kdg muhindi akasimama, muhindi c akatoa nanii yake() jamaa akatoka nduki Dah nilicheka sana aiseee
Hicho Ndy kimbwenga cha boss muhindi
 
Kuna siku niliandika msg huyu Boss wangu ni khanithi mshahara mpaka leo hajatoa, sasa wakat nasend nikajikuta nimemtumia Boss badala ya Wife, alaf tulikuwa kwenye kikao pale sub scania, najitahid kuizuia waapi naskia imefika kwake nae akaifungua akaisoma akashusha miwani kisha akatabasamu. Kikao kikaendelea lakini wakati huo mimi jasho linatoka na ndani unyunyu upo wa kutosha tu. Baada ya kikao kwisha ndio Boss akaniuliza kwa hiyo nishakuwa Khanith* sio? Ikabidi tu nimjibu ndio.
alafu ikawaje mzee
 
Na ndio mañana wafany
Ila wafanyakazi wa private wengi wnapitia frustration sana,haijalishi ukubwa wa taasisi,nyerere aliweka misingi mizuri ssna ya ajira za serikali kulinda utu wa mtu na ajira,kauli yake maarufu alisema hapendi umungu mtu,yaani mtu ashikilie hatma ya maisha ya mtu,waliobaki miungu wtu wachache serikalini wanaishia kufoka tu unawadharau maisha yanaendelea!!
Na ndiomaana wafanyakazi wa private wanaendelea na kutoboa kimaisha. Sababu hakuna comfort zone huko private.
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano........!
 
Serikalini hakuna huo upumbavu, yaani msimamizi wa kazi na chawa wake unawashiana nao moto na fakini za kufa mtu.

Usirushe ngumi tu, hapa hata majaliwa au mpango akirusha kofi anatumbuliwa yeye.
Kwa maana hiyo ni ngumu sana kuwa na usimamizi imara serikalini na watanzania wengi hawapendi kufanya kazi kwa kujituma.
Huduma nyingi huwa ni nzuri sana private kuliko serikalini
 
Kwa maana hiyo ni ngumu sana kuwa na usimamizi imara serikalini na watanzania wengi hawapendi kufanya kazi kwa kujituma.
Huduma nyingi huwa ni nzuri sana private kuliko serikalini
Na ndiomaana wafanyakazi wengi wa serekali hufa masikini. Wanaona fahari kuwa kwenye hiyo comfort zone. Ni mbinu ya kizamani sana kumpa mfanyakazi comfort zone ili asiondoke umnyonye vizuri. Matokeo yake mtu akili yake huwa butu. Hafikirii hatima yake na wala hana mchango wa ziada kwenye eneo analofanya kazi. Huruma!!
 
Ndiyo maana waki staff hawezi kuishi maisha ya uraiani nje ya mshahara utakuta anapokea nafao hajui ayafanyie jambo gani zaidi ya kujenga nyumba ambayo ndani ya utumishi angeisha ijenga
 
Nilikuwa na boss huyo mdogo TU, ila akikasirika anakukaripia zaidi ya mtoto wake wa mwisho halaf hajal labda na wewe upo na wasidizi wako. Bas ilifika mahali Hadi akija tunamcheki kama kaja na makasikriko au mudi mbaya kila mtu anamkwepa asimharibie siku. Ila akiwa kwenye mudi poa yupo poa saana had anauliza mbona watu wananikwepa kumbe tushamjua
 
Back
Top Bottom