Nimesoma na comment yako nyingine yaani utafikiri tulikuwa ofisi moja. Yaani mtu unaamka asubuhi unawaza kazini kutakuwaje, na msemo wa kuwaka moto ndio ulikuwa maarufu.
Tunapoingia kwenye kikao tunaambizana leo sijui nani atawashiwa moto unakuta kuna mteja alikusemelea kwa boss hali tete.
Sasa ole wenu siku hiyo mauzo ya Cash yawe madogo mtajuta hata kama wateja wa bank mmeuza 100M yeye anachoangalia Cash tuu mpaka tukaanza kuwaomba wateja wasiwe wanalipia bank kuepuka kutukanwa.
Sent using
Jamii Forums mobile app