Nilienda kutengeneza gari kwenye gerage ya muhindi [emoji23] ss nilikua na rafiki yangu pembeni alikua kakaa akitazama ndipo muhindi akaja.
Akamuuliza vipi ww huna kazi?
Rafiki yangu akajibu, Ndy sina.... (Alifikiri kuna kazi ili apewe)
Ndipo muhindi akamwambia njoo huku nikupe kazi [emoji16]
Jamaa akainuka wakawa wanaongozana, mara wakafika mbele kdg muhindi akasimama, muhindi c akatoa nanii yake([emoji1646]) [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa akatoka nduki Dah nilicheka sana aiseee
Hicho Ndy kimbwenga cha boss muhindi [emoji23]