Bilashaka ulifukzwaKuna siku niliandika msg huyu Boss wangu ni khanithi mshahara mpaka leo hajatoa, sasa wakat nasend nikajikuta nimemtumia Boss badala ya Wife, halafu tulikuwa kwenye kikao pale sub scania, najitahid kuizuia waapi naskia imefika kwake nae akaifungua akaisoma akashusha miwani kisha akatabasamu.
Kikao kikaendelea lakini wakati huo mimi jasho linatoka na ndani unyunyu upo wa kutosha tu. Baada ya kikao kwisha ndio Boss akaniuliza kwa hiyo nishakuwa Khanith* sio? Ikabidi tu nimjibu ndio.
Punguza kujiongopea akili ykoMwanaume unaandika bwanaa wee
Mwanaume unaandika boss wetu
Hilo neno boss wetu wanatajaga kina dada huwezi ongea na simu kwenye usafiri wa umma useme boss wetu huko mkoa nilipo wataomba no zako
Una elimu gani?WanaJF bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amina.
Maisha ni safari ndefu sana tena sana. Watoto wa kisasa wakisikia kuwa uyaone wao hudhani ni maparachichi na machungwa watayaona.
Lakini duh utu uzima ni mzigo. Na hili lazima niliseme wazi. Nina miaka 42 sasa. Historia yangu si nzuri sana hadi leo ninaishi. Ni Mungu tu muokozi wetu anisaidia.
Ni miaka nane sasa toka nipate kazi katika ofisi fulani hapa mkoani. Hawanilipi fedha nyingi but zinanisaidia kusogeza siku katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi mi na mwanangu. Lakini bwana wee boss wetu ni shabiki kindakindaki wa club ya Simba.
Huwezi amini hao Simba wakifungwa humu kazini ni vimbwanga na vituko. Siku moja Simba kafungwa basi kadamkia kazini saa 11:00 alfajiri kapaki gari. Bwana we mbona tulikoma hivyo vitimbi. Kwa kawaida muda wa kazi ni sa 1:30 uwe umefika.
Haya Sasa hiyo siku aliyowahi hivyo wote tuliochelewa akatuita ofisini kwake na kutuambia kwanzia leo nyie ndo maboss na mimi ni mfanyakazi wenu. Akaniita Selason (Mimi huyo)we ndo meneja, huyu sijui not utakuwa hivi na vile. Mara hivi na vile.
Mi coz ndo mkubwa kiumri nikaomba msamaha basi akatusamehe kwa sharti Kwamba tusirudie Tena . Sasa basi hiyo hiyo siku akaingia jikoni kuna mpishi wake maalum katika eneo hili la kazi. Hakumkuta sijui kaenda wapi kuchukua sijui tangawizi sijui nini huko mtaani.
Basi akaingia jikoni hajamkuta. Cha ajabu kwa hasira akaanza kuosha vyombo na kugusa hiki na kile cha jikoni humo. Oya nyie anakera kichizi basi tu.
Mpishi anarudi anamkuta boss asuuza vyombo. "Hivi we mpumbavu kwanini vyombo ni vichafu hivi. Unakuwaga wapi nakulipa hela ya bure kupika yenyewe hujui" akapayuka. Basi kamfukuza yule dogo. Siku hizi pakula hana humwagiza bodaboda mmoja alete chakula coz tuko nje kidogo ya mji.
Juzi Kati Simba walidraw na Yanga wakashinda . Asubuhi kapaki ndinga anakagua ofisi zake uso umefura kwa hasira. Anakagua akute kosa tu apayuke makelele. Kaingia ofisi ya sekratari mtoto mwenyewe mpole hana muda hapa kazini basi kaanza makelele.
Yule mtoto kumbe hanaga uvumilivu kaanza kumchana boss kwamba asimzoee kumpigia kelele Mungu ndo mtoa riziki. Usinitishe we mzee halafu nakusikiaga mimi sio kama hao uliowafanya miskule ( eti ndo sisi) . Unajua akamjibuje . Hunijui utanifahamu. Dogo kamwambia eti kwendraaaa nikacheka ka chizi kuona hivyo.
We bwana wakati nacheka (ofisi zinatizamana) kumbe kaniona akanifata. Akaniambiaje eti we mzee kwenu hamna wakubwa. Mtoto ananidhalilisha we unacheka. Tutaonana mwisho wa mwezi utaondoka. Ndo hivyo mi nasubiri liwalo na liwe.
Ukitaka awe rafiki yake ukimuona asubuhi uanze kumchekeachekea na kumsifia Kwamba ye ndo kidume Yanga hamna kitu Simba ndo baba lao.
Humu ndani ana wambeya wake yaani chawas mmoja huitwa mchina (si jina lake halisi) na mwingine Yeremia. Basi hao uongelee wapi usiyaskie kikaoni? Hawana dogo washapeleka.
Juzi Kati mwanae kapata ajali ya gari kwa kugonga gari nyingine. Basi kaombwa laki nne amlipe aliyegongwa. Hasira za mwanae akahamishia kwetu.
Kiufupi boss wetu ni mswahili originally.Asikuone unaongea na simu utaskia ulikua unaongea na nani muda wote huu kilugha? Mnataka kuniroga ehh! Basi niwaambieni tu sirogeki mi ndo ....(Anataja jina lake). Na kufa sifi mpaka Mungu apende. Kenge nyie.
Duh ndo hivyo bwana vimbwanga vya boss wetu. Tuhadithiane vimbwanga vya maboss wenu huko tuskie wote au sio wana jf?
NB.
Boss wetu Hana mke. Wameachana toka 2007. Labda ndo maana ana stress.
Kwaheri.
mimi nimekwambia usimuingize kwenye hizo issue za bwanaee havimuhusu.Kwa hio wewe sio mtoto wa baba ako
Sawa bintiPunguza kujiongopea akili yko
Umeongea point sana mdau, wafanyakazi wa sekta binafsi wana kua active sanaa, yaani ule ujuzi wake ndio unamweka pale so anakua makini zaidi achilia mbali na ukali wa boss. Hata kimaisha wanakua na maisha mazuri kwani huwa wanawaza sanaa ili watoboe waondokane na mikasa ya boss, Sasa hivi ninabiashara zangu nazisimamia kikamilifu nikiogopa nisije filisika nikaingia kwenye kikaango cha ajira tena.Na ndiomaana wafanyakazi wengi wa serekali hufa masikini. Wanaona fahari kuwa kwenye hiyo comfort zone. Ni mbinu ya kizamani sana kumpa mfanyakazi comfort zone ili asiondoke umnyonye vizuri. Matokeo yake mtu akili yake huwa butu. Hafikirii hatima yake na wala hana mchango wa ziada kwenye eneo analofanya kazi. Huruma!!
Yupo vizuri sana bosi wenu.Hamjui tu kuishi naye kwa mbongo/akili mingi.Halafu umeeleza ni shabiki wa Mnyama eee?Huyo ni mwamba sana.Yafaa muwe mnamuita master!Mnyama sana!😂😂😂😂WanaJF bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amina.
Maisha ni safari ndefu sana tena sana. Watoto wa kisasa wakisikia kuwa uyaone wao hudhani ni maparachichi na machungwa watayaona.
Lakini duh utu uzima ni mzigo. Na hili lazima niliseme wazi. Nina miaka 42 sasa. Historia yangu si nzuri sana hadi leo ninaishi. Ni Mungu tu muokozi wetu anisaidia.
Ni miaka nane sasa toka nipate kazi katika ofisi fulani hapa mkoani. Hawanilipi fedha nyingi but zinanisaidia kusogeza siku katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi mi na mwanangu. Lakini bwana wee boss wetu ni shabiki kindakindaki wa club ya Simba.
Huwezi amini hao Simba wakifungwa humu kazini ni vimbwanga na vituko. Siku moja Simba kafungwa basi kadamkia kazini saa 11:00 alfajiri kapaki gari. Bwana we mbona tulikoma hivyo vitimbi. Kwa kawaida muda wa kazi ni sa 1:30 uwe umefika.
Haya Sasa hiyo siku aliyowahi hivyo wote tuliochelewa akatuita ofisini kwake na kutuambia kwanzia leo nyie ndo maboss na mimi ni mfanyakazi wenu. Akaniita Selason (Mimi huyo)we ndo meneja, huyu sijui not utakuwa hivi na vile. Mara hivi na vile.
Mi coz ndo mkubwa kiumri nikaomba msamaha basi akatusamehe kwa sharti Kwamba tusirudie Tena . Sasa basi hiyo hiyo siku akaingia jikoni kuna mpishi wake maalum katika eneo hili la kazi. Hakumkuta sijui kaenda wapi kuchukua sijui tangawizi sijui nini huko mtaani.
Basi akaingia jikoni hajamkuta. Cha ajabu kwa hasira akaanza kuosha vyombo na kugusa hiki na kile cha jikoni humo. Oya nyie anakera kichizi basi tu.
Mpishi anarudi anamkuta boss asuuza vyombo. "Hivi we mpumbavu kwanini vyombo ni vichafu hivi. Unakuwaga wapi nakulipa hela ya bure kupika yenyewe hujui" akapayuka. Basi kamfukuza yule dogo. Siku hizi pakula hana humwagiza bodaboda mmoja alete chakula coz tuko nje kidogo ya mji.
Juzi Kati Simba walidraw na Yanga wakashinda . Asubuhi kapaki ndinga anakagua ofisi zake uso umefura kwa hasira. Anakagua akute kosa tu apayuke makelele. Kaingia ofisi ya sekratari mtoto mwenyewe mpole hana muda hapa kazini basi kaanza makelele.
Yule mtoto kumbe hanaga uvumilivu kaanza kumchana boss kwamba asimzoee kumpigia kelele Mungu ndo mtoa riziki. Usinitishe we mzee halafu nakusikiaga mimi sio kama hao uliowafanya miskule ( eti ndo sisi) . Unajua akamjibuje . Hunijui utanifahamu. Dogo kamwambia eti kwendraaaa nikacheka ka chizi kuona hivyo.
We bwana wakati nacheka (ofisi zinatizamana) kumbe kaniona akanifata. Akaniambiaje eti we mzee kwenu hamna wakubwa. Mtoto ananidhalilisha we unacheka. Tutaonana mwisho wa mwezi utaondoka. Ndo hivyo mi nasubiri liwalo na liwe.
Ukitaka awe rafiki yake ukimuona asubuhi uanze kumchekeachekea na kumsifia Kwamba ye ndo kidume Yanga hamna kitu Simba ndo baba lao.
Humu ndani ana wambeya wake yaani chawas mmoja huitwa mchina (si jina lake halisi) na mwingine Yeremia. Basi hao uongelee wapi usiyaskie kikaoni? Hawana dogo washapeleka.
Juzi Kati mwanae kapata ajali ya gari kwa kugonga gari nyingine. Basi kaombwa laki nne amlipe aliyegongwa. Hasira za mwanae akahamishia kwetu.
Kiufupi boss wetu ni mswahili originally.Asikuone unaongea na simu utaskia ulikua unaongea na nani muda wote huu kilugha? Mnataka kuniroga ehh! Basi niwaambieni tu sirogeki mi ndo ....(Anataja jina lake). Na kufa sifi mpaka Mungu apende. Kenge nyie.
Duh ndo hivyo bwana vimbwanga vya boss wetu. Tuhadithiane vimbwanga vya maboss wenu huko tuskie wote au sio wana jf?
NB.
Boss wetu Hana mke. Wameachana toka 2007. Labda ndo maana ana stress.
Kwaheri.
Kuna andiko Hapa juu ya mashabiki kindakindaki wa timu hizi. Wana shida flani hivi. WanasemaYupo vizuri sana bosi wenu.Hamjui tu kuishi naye kwa mbongo/akili mingi.Halafu umeeleza ni shabiki wa Mnyama eee?Huyo ni mwamba sana.Yafaa muwe mnamuita master!Mnyama sana!![]()
NneUna elimu gani?
Huoni ni wakati mzuri usome hata QT?
Je si vizuri pia hata ukianza mazoezi ya kutumia akili?
Siyo shida.Ni changamoto.Shida hudumu daima dumu.Changamoto hutatuliwa kwa hekima na hazidumu.Kuna andiko Hapa juu ya mashabiki kindakindaki wa timu hizi. Wana shida flani hivi. Wanasema
Mkuu mwanaume unaandikaje ''we nae'' hili neno wanatumia wadada sana, unatamkaje hilo neno Mkuu?We nae ni wale wale
Mkuu mwanaume unaandikaje ''we nae'' hili neno wanatumia wadada sana, unatamkaje hilo neno Mkuu?
Mtu anaefokafoka na kukosesha watu amani na mkakosa amani kweli ndio furaha yake. Na ataendelea hivyo kama msipompuuza.That's highest level of EQ ambayo wengi wanaikosa
😂😂😂Kuna siku niliandika msg huyu Boss wangu ni khanithi mshahara mpaka leo hajatoa, sasa wakat nasend nikajikuta nimemtumia Boss badala ya Wife, halafu tulikuwa kwenye kikao pale sub scania, najitahid kuizuia waapi naskia imefika kwake nae akaifungua akaisoma akashusha miwani kisha akatabasamu.
Kikao kikaendelea lakini wakati huo mimi jasho linatoka na ndani unyunyu upo wa kutosha tu. Baada ya kikao kwisha ndio Boss akaniuliza kwa hiyo nishakuwa Khanith* sio? Ikabidi tu nimjibu ndio.
Poleni sana. Mmebahatika kuwa na "Limbukeni" wala sio boss!!!WanaJF bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amina.