Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,460
- Thread starter
- #101
Mkuu hujasoma vizur? Tumetumia njia ya moro-dar sio b/moyo,by the way hata hiyo njia huwez tumia 2hrs ni zaidi ya 3:30 hrs hapo
Mimi jamaa nawashangaa sana nyie jamaa..!!
Nimepanda bus flani (•••) tukapitia Bagamoyo, msata mpaka kufika moro ni masaa 2:45, sasa sijui ulazima mnaotumia wa masaa 6-8 ni wa nini?
Huku foleni utaikuta wapi ?.
Yawezekana nabishana na mwanangu ambaye anajifanya anajua kumbe hajui mimi ndiye sababu ya yeye kujua.
Pole.