Vimambo na vijimambo safari yangu Mtwara to Singida

Mkuu mbona kasema walifika ubungo saa nane na nusu na ikawalazimu kujazia abiria. Pia mbezi walisimama kuongeza abiria sasa hapo cha kushangaza nini?Pia kasema foleni waliyokutana nayo kutokea ubungo.
Bado masaa nane Dar to Moro haipenyi akilini asilani, hata uondoke Dar saa 1usiku huwezi fika moro saa 4!!!
 
Inawezekana boss. Mi nilishawai kutoka msamvu saa 16:30 niliingia ubungo saa 22:15 na hapo ni aboud mpya
 
Mm Napenda kula , haiwezi kuwa safari bila mm kula .
 
Hah bosi tuchieusafiri wetu,sasa ulifanyaje au ulijikaza kizalendo,mwenzio nilisurender kibingwa
Nilimwambia konda akawa kama haelew iv ikabdi niende kwa dereva akasimama shinyanga kwa muda nikafanya yangu then nikalud uku nikiwa na bonge LA haibu coz wote waliniona naenda kujisaidia
 
Hahahaha mi walinigomea aisee
Nilimwambia konda akawa kama haelew iv ikabdi niende kwa dereva akasimama shinyanga kwa muda nikafanya yangu then nikalud uku nikiwa na bonge LA haibu coz wote waliniona naenda kujisaidia
 
Bado masaa nane Dar to Moro haipenyi akilini asilani, hata uondoke Dar saa 1usiku huwezi fika moro saa 4!!!
We jamaa vipi,umetoka Dar lini? Siku hizi Dar Moro kula masaa 4,5,6 ni kawaida mno. Mbezi penyewe lazima zikatike saa 2,Mlandizi lazima ile saa1,Chalinze saa1 nyingine. Chalinze hadi Moro lazima ule saa 1:30 hadi masaa2. Kiufupi,barabara ya Dar-Chalinze imeelemewa. Kuna siku lori zinafunga kuanzia Mbez hadi Chalinze,hata pa ku overtake hakuna.
 
Mimi jamaa nawashangaa sana nyie jamaa..!!

Nimepanda bus flani (•••) tukapitia Bagamoyo, msata mpaka kufika moro ni masaa 2:45, sasa sijui ulazima mnaotumia wa masaa 6-8 ni wa nini?
Huku foleni utaikuta wapi ?.

Yawezekana nabishana na mwanangu ambaye anajifanya anajua kumbe hajui mimi ndiye sababu ya yeye kujua.
Pole.

Acha ubishi.
 
Mwanao,utakua unaota wewe. Kwa nini mulipitia Bagamoyo?
By the way,wewe ni muongo.
Ukitoka Ubungo hadi ufike Bagamoyo,siyo chini ya masaa2,maana kuimaliza Mbezi,Tegeta,Bunju ni wastani wa saa 1:30!
Kutoka Bagamoyo hadi Msata ni saa 1 hadi 1:30 lingine. Utoke pale upitie Msoga hadi Mdaula huko,ni dk kama 40 au nusu saa. Kutoka hapo hadi Moro kuna saa1:30 lingine. Kwa uchache ni masaa 4 huwez kukwepa. Tunatumia hizo njia kila siku kwa magari madogo tunajua tunachokisema. Na kwa kuzingatia mabasi yote yana Ving'amuzi,ni vema ukajua speed yao huwa haizidi 90km/h tena ni 80kph,ikifika 85kph king'amuzi kinaanza kulia. Hivyo ni uongo kuwa mulitumia masaa 2:45 kutoka Dar hadi Moro,hata kama mulipita njia ya Bagamoyo,ni uongo kabisa.
Kumbuka njia pia ina mizani
 
Asante kwa ufafanuzi mambo mengine ni ubishi tu

Back
Top Bottom