mtingi1
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 945
- 923
Wanabodi habari za jumamosi,
Sorry kwa lugha niliyoitumia katika title hapo juu.
Kama mada inavyojipambanua, huwa nikitazama katika vyombo vya habari vikubwa pale Uingereza, mfano BBC au skysport. Wanapokuwa wakiwahoji wanamichezo na makocha mbali mbali, huwa naona TANGAZO"VISIT RWANDA"
Siwachukii wanyarwanda, ila najiulizaga kwani Rwanda kuna kitu gani cha ajabu hata wameweza kujitangaza internationally?
Mbona hapa kwetu bongo kuna kila aina ya vivutio kwanini siioni VISIT TANZANIA? Wahusika wanafeli wapi??????
Nawasilisha.... Sabato njema