Dah aisee sjui ulichokiandika unakielewa mwenyewe binafsi,
nimejaribu pengine ndo unachokiamaanisha, kwamba Rwanda hapaswi kujitangaza kwa sababu hawana vivutio?
Tanzania hatujitangazi kama Rwanda ili hali tuna vivutio ving nadhan ndo msingi mkubwa wa swali lako.
Kama ndo msingi mkubwa sioni kama una sababu za kuwa beza Rwanda kujitangaza, Nchi kama Nchi ina vivutio vyake na ina utaratbu wake wakujitangaza.
Kama ilivo Tanzania pia ina platform ya kutangaza vivutio vyake, pengne wewe unataka Tanzania ifanye kama inavofanya Rwanda?
Sent from my SM-G965U using
JamiiForums mobile app