VILE "visit Rwanda" inanizinguaga

VILE "visit Rwanda" inanizinguaga

Dah aisee sjui ulichokiandika unakielewa mwenyewe binafsi,
nimejaribu pengine ndo unachokiamaanisha, kwamba Rwanda hapaswi kujitangaza kwa sababu hawana vivutio?
Tanzania hatujitangazi kama Rwanda ili hali tuna vivutio ving nadhan ndo msingi mkubwa wa swali lako.
Kama ndo msingi mkubwa sioni kama una sababu za kuwa beza Rwanda kujitangaza, Nchi kama Nchi ina vivutio vyake na ina utaratbu wake wakujitangaza.

Kama ilivo Tanzania pia ina platform ya kutangaza vivutio vyake, pengne wewe unataka Tanzania ifanye kama inavofanya Rwanda?

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Anachoelekea kuumanisha naweza kuongeza point. Tanzania ina vivutio vingi vizuri vinavyo tambulika duniani. Ukianza na Mlima Kilimanjaro, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Mbuga za Serengeti, Ruaha, Selous, Ngoro ngoro, Bahari ya indi yenye urefu wa 800km na vingine vingi. Jiulize kwanini Tunapata wageni kwenye milioni moja na - kwa mwaka, ambao ni sawa na Uganda sawa na Rwanda na sawa na Kenya wanaopata. Anachomaanisha kwa mtizamo wangu ni kuwa Rwanda ni kama hawana chochote cha maana cha kujitangaza ukilinganisha na Tanzania lakini wamewekeza kwenye kujitangaza zaidi ya Tanzania na wamefaulu kupata wageni wale wale tunaopata. Kumaanisha Rwanda itajulikana duniani kuliko Tanzania. Je ingekuwaje Tanzania ingelijitangaza vilivyo?
 
Hela za Matangazo kama hayo si ndio wanafanya wasanii, eti wanaenda kupanda kilimanjaro
Ukiangalia mechi ya EPL kwenye interview ya kocha kama Gadiola halafu background unakuta visit Rwanda, mimi mzalendo najiuliza mbona siioni ngorongoro Crater? Kilimanjaro je? Seolous. .
 
Kila nchi inanjia zake za kutangaza vivutio vyake.Rwanda wao wameona hiyo ndo njia yao bora kujitangaza.
Nakumbuka kipindi Rwanda wamesign deal na Arsenal.Liligharimu kama £32 M hivi nahisi.Yaani wabongo mliwaandama sana.Mara Rwanda bado masikini wanajikakamua tu, sijui Rwanda kama CCM tu wananchi masikini ila wanaharibu pesa n.k.Nadhani impact umeanza kuiona sasa wanazidi kupata watalii na kujulikana zaidi.
Naona sisi tumetumia njia nyingine tofauti na hiyo.Niliona wanawasainisha hawa mastaa kama Samatta mikataba.
Yote kwa yote Serengeti pekee au Kilimanjaro ni mtaji tosha hatuwezi spend pesa nyingi hivyo kujitangaza.Idadi ya watalii wa Tz ni zaidi ya mara mbili ya Rwanda.Uchumi wa Tz ni mara saba ya Rwanda.Rwanda ni LDC na Tz ni MIC.Rwanda Air ipo juu kuliko ATCL.
TANZANIA pia hainabudi kuwekeza fedha kwenye michezo Kama EPL, kwani millions of people wanaangalia mpira. So impact yake ni kubwa sana
 
Kila industry inahitaji wazee wa Fitna ili ku win, Nimekutana na Bango kubwa Arusha pale Taa za tripple A likitangaza RwandAir Niko excited kujua yaliyomo ndani ya Rwandair nime follow page zao zote mitandaoni excitation ni kubwa sana nasubiri wafanye resumption ya flights nifanye booking walau ka trip chochote nipate exposure na experience
Watu wanadhani nimewabeza Rwanda, hasha! Nimewaonea wivu wa kimaendeleo, nikitaka nchi yangu iwapiku katika mbinu na mikakati
 
Anachoelekea kuumanisha naweza kuongeza point. Tanzania ina vivutio vingi vizuri vinavyo tambulika duniani. Ukianza na Mlima Kilimanjaro, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Mbuga za Serengeti, Ruaha, Selous, Ngoro ngoro, Bahari ya indi yenye urefu wa 800km na vingine vingi. Jiulize kwanini Tunapata wageni kwenye milioni moja na - kwa mwaka, ambao ni sawa na Uganda sawa na Rwanda na sawa na Kenya wanaopata. Anachomaanisha kwa mtizamo wangu ni kuwa Rwanda ni kama hawana chochote cha maana cha kujitangaza ukilinganisha na Tanzania lakini wamewekeza kwenye kujitangaza zaidi ya Tanzania na wamefaulu kupata wageni wale wale tunaopata. Kumaanisha Rwanda itajulikana duniani kuliko Tanzania. Je ingekuwaje Tanzania ingelijitangaza vilivyo?

Sio ni kama hawana chochote cha kujitangaza ni kweli hawana kabisa zaidi ya Dark tourism(mafuvu),Gorilla na ule utalii wa kina dada kumwaga maji kwa sana basi.
 
Watu wanadhani nimewabeza Rwanda, hasha! Nimewaonea wivu wa kimaendeleo, nikitaka nchi yangu iwapiku katika mbinu na mikakati
Mkuu si kuna Ile trip ya hiking mountain kilimanjaro Walipanda kina JB, manara, Steve nyerere sijui Ebitoke hahaha
Nina best yangu yupo Finland anataka kuja Rwanda kutembea tu nimejitahidi kumvuta Afike na Tanzania can you imagine alikuwa hata hajui Natural attractions zilizopo hapa lakini sio kwamba Norway hatuna Ambassador wala Foreign Service Officers FSO wapo na hata dar wana High commission ipo pamoja na Sweden Posta
 
Anachoelekea kuumanisha naweza kuongeza point. Tanzania ina vivutio vingi vizuri vinavyo tambulika duniani. Ukianza na Mlima Kilimanjaro, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Mbuga za Serengeti, Ruaha, Selous, Ngoro ngoro, Bahari ya indi yenye urefu wa 800km na vingine vingi. Jiulize kwanini Tunapata wageni kwenye milioni moja na - kwa mwaka, ambao ni sawa na Uganda sawa na Rwanda na sawa na Kenya wanaopata. Anachomaanisha kwa mtizamo wangu ni kuwa Rwanda ni kama hawana chochote cha maana cha kujitangaza ukilinganisha na Tanzania lakini wamewekeza kwenye kujitangaza zaidi ya Tanzania na wamefaulu kupata wageni wale wale tunaopata. Kumaanisha Rwanda itajulikana duniani kuliko Tanzania. Je ingekuwaje Tanzania ingelijitangaza vilivyo?
Naamini hata darasani ulifaulu vizuri mkuu
 
Mkuu si kuna Ile trip ya hiking mountain kilimanjaro Walipanda kina JB, manara, Steve nyerere sijui Ebitoke hahaha
Nina best yangu yupo Finland anataka kuja Rwanda kutembea tu nimejitahidi kumvuta Afike na Tanzania can you imagine alikuwa hata hajui Natural attractions zilizopo hapa lakini sio kwamba Norway hatuna Ambassador wala Foreign Service Officer FSO wapo na hata dar nadhani wana High commission ipo pamoja na Sweden Posta
Angalia impact ya Jose Mourinho akibwata halafu compare na hawa wasanii wetu wote, see the difference mkuu.
 
Mkuu si kuna Ile trip ya hiking mountain kilimanjaro Walipanda kina JB, manara, Steve nyerere sijui Ebitoke hahaha
Nina best yangu yupo Finland anataka kuja Rwanda kutembea tu nimejitahidi kumvuta Afike na Tanzania can you imagine alikuwa hata hajui Natural attractions zilizopo hapa lakini sio kwamba Norway hatuna Ambassador wala Foreign Service Officers FSO wapo na hata dar wana High commission ipo pamoja na Sweden Posta

Hivi hao maofisa huko kazi zao ni Nini hasa?mbona najiskia hasira sana
 
Angalia impact ya Jose Mourinho akibwata halafu compare na hawa wasanii wetu wote, see the difference mkuu.
Difference ni Kubwa sana mkuu lakini swala la kùtangaza nchi yetu sio la wizara tu ni la kila Mtanzania mana Impact ya tourism ni kubwa sana kwa maendeleo yetu ivo tujitahidi sana kubrand Nchi yetu mimi hata nikisafiri kwenda kenya walau natafuta ata t shirt za ngorongoro au track suit japo ni ngumu kuzipata sokoni walau nitupie ili kutangaza nchi yangu, lakini wenye mamlaka nashauri waende Extra miles katika ku brand nchi mana wao wana resources za kutosha kufanya ivo
 
Wanabodi habari za jumamosi,

Sorry kwa lugha niliyoitumia katika title hapo juu.

Kama mada inavyojipambanua, huwa nikitazama katika vyombo vya habari vikubwa pale Uingereza, mfano BBC au skysport. Wanapokuwa wakiwahoji wanamichezo na makocha mbali mbali, huwa naona TANGAZO"VISIT RWANDA"

Siwachukii wanyarwanda, ila najiulizaga kwani Rwanda kuna kitu gani cha ajabu hata wameweza kujitangaza internationally?

Mbona hapa kwetu bongo kuna kila aina ya vivutio kwanini siioni VISIT TANZANIA? Wahusika wanafeli wapi??????

Nawasilisha.... Sabato njema
Tanzania ubahili mwingi
 
Mkuu si kuna Ile trip ya hiking mountain kilimanjaro Walipanda kina JB, manara, Steve nyerere sijui Ebitoke hahaha
Nina best yangu yupo Finland anataka kuja Rwanda kutembea tu nimejitahidi kumvuta Afike na Tanzania can you imagine alikuwa hata hajui Natural attractions zilizopo hapa lakini sio kwamba Norway hatuna Ambassador wala Foreign Service Officers FSO wapo na hata dar wana High commission ipo pamoja na Sweden Posta
Ila Kenya Nadhani walituzidi mahali kwny marketing,kuna movie ya James Bond niliiona ya mwaka 1960's huko lkn Bond akaitaja Nairobi nikashangaa tu,Kuna Movie nyingine ya Angeline jolie tomb raider 2 naona wali-act hapo Kenya-Amboseli National Park huku wakichukua view nzuri ya Mt. Kilimanjaro na hatukulamba hata senti 1.
 
Difference ni Kubwa sana mkuu lakini swala la kùtangaza nchi yetu sio la wizara tu ni la kila Mtanzania mana Impact ya tourism ni kubwa sana kwa maendeleo yetu ivo tujitahidi sana kubrand Nchi yetu mimi hata nikisafiri kwenda kenya walau natafuta ata t shirt za ngorongoro au track suit japo ni ngumu kuzipata sokoni walau nitupie ili kutangaza nchi yangu, lakini wenye mamlaka nashauri waende Extra miles katika ku brand nchi mana wao wana resources za kutosha kufanya ivo
Mkuu kuna kipindi hua kiko Clouds+ kinaitwa Sebuleni mtangazaji wake nadhani anaitwa(Skala jr) hua anavaa zake kitu kama bracekets hivi mkononi kina bendera ya Kenya wkt yeye ni mbongo na anasema hio channel yao inaonekana Africa nzima na Arabuni mpk mtu unajiuliza kwani kavaa ya Kenya na sio Tz?

Anyway ni Co. binafsi ile wana mitizamo yao.
 
Tanzania inajitangaza sana sema mabahili wanaenda kwenye ma TV ya habari na wanategemea sana NAT GEO pamoja na Amy Dickman.
.
mfano wa mahala walipo Tanzania ni CGTN ahahaaha
Daah CGTN ile ya wachina?
 
Mkuu kuna kipindi hua kiko Clouds+ kinaitwa Sebuleni mtangazaji wake nadhani anaitwa(Skala jr) hua anavaa zake kitu kama bracekets hivi mkononi kina bendera ya Kenya wkt yeye ni mbongo na anasema hio channel yao inaonekana Africa nzima na Arabuni mpk mtu unajiuliza kwani kavaa ya Kenya na sio Tz?Kwanini anaifanyia free Marketing Kenya?

Anyway ni Co. binafsi ile wana mitizamo yao.
Uzalendo tatizo kubwa, kama sivyo basi tuna tatizo kubwa la uelewa, kuitangaza Kenya ndani ya TANZANIA,duu!

Angalia wamarekani, hata kwenye movie zao wanaitangaza marekani hadi unatamani kufika America.

Watanzania tibadilike kwa kweli.
 
Back
Top Bottom