Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
Looh ahaaaa haki ningezimia
Tumbua hiloooNdo ujikute hujavaa pichu na zipu imeachia ebanaeeee,,,
AiseeIla hili joto limejua kutuadhibu jamani.. Wadada na Pichu ni paka na panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipu nyingi zipo nyuma, kwenye sketi au magaunitumbua hilooo
ChaiKipindi nafundisha tehama kwenye technical school fulani ,najulikana kwa mbwembwe nikiwa nafundisha hasa kutokana na somo ninalofundisha lipo kwenye dam.
Siku hyo tulikuwa tunapima Voltages kwenye Power Supply Unity.
Kwa mbwembwe tukaifungua ile PSU nakumbuka ilikuwa ya HP Compaq 8200 Elite.
Kutia power hola,kumbe ina Short Circuit ambayo inapelekea Capacitor Kubwa Volts 400 zinabaki kama zilivyo hata kama ukiizima.
Kwa bahati mbaya nikagusa terminals za Capacitor asee nikapigwa short moja hatari,kumbe katika lile wenge nikaachia bonge la ushuzi.
Kwa AIBU nikaomba likizo, nikapewa ya wiki MBILI..
Siku narudi darasani kuendelea na kipindi kuwauliza wanafunzi,"tuliishia wapi"????
Kwa sauti ya shangwe wakajibu "Pale ULIPOJAMBA Mwalimu!!!!"..
Daahh kwa aibu nikaomba UAMISHO kabisa..
Nyoko zao wale wale wanafunzi....
Ulitanguliza mguu wa kulia😂😂😂Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Unakuwa kama hupakatwi!!!Chai
Copied from somewhere but modified,Kipindi nafundisha tehama kwenye technical school fulani ,najulikana kwa mbwembwe nikiwa nafundisha hasa kutokana na somo ninalofundisha lipo kwenye dam.
Siku hyo tulikuwa tunapima Voltages kwenye Power Supply Unity.
Kwa mbwembwe tukaifungua ile PSU nakumbuka ilikuwa ya HP Compaq 8200 Elite.
Kutia power hola,kumbe ina Short Circuit ambayo inapelekea Capacitor Kubwa Volts 400 zinabaki kama zilivyo hata kama ukiizima.
Kwa bahati mbaya nikagusa terminals za Capacitor asee nikapigwa short moja hatari,kumbe katika lile wenge nikaachia bonge la ushuzi.
Kwa AIBU nikaomba likizo, nikapewa ya wiki MBILI..
Siku narudi darasani kuendelea na kipindi kuwauliza wanafunzi,"tuliishia wapi"????
Kwa sauti ya shangwe wakajibu "Pale ULIPOJAMBA Mwalimu!!!!"..
Daahh kwa aibu nikaomba UAMISHO kabisa..
Nyoko zao wale wanafunzi....






Alikua mfupi probablyUlikuwa katoto nini? Hiyo "nenda kanyonye"![]()
Ila hizi mambo zetu wadada za kuignore na kuringa tukiitwa barabarani na watu tusiowafahamu sometime sio kabisa
Imewahi nitokea nakumbuka enzi za chuo hiyo siku weekend tumetoka hostel na shosti yangu lengo tukatafute msusi ila tukaenda mtaa ambao hatuufahamu vizuri.
Sasa tuko busy tunabahatisha njia tukapita sehemu wakaka wamekaa kama wa4 hivi na ilikua kama garage hizi za mtaani tu ambazo sio rasmi wakawa wanatuita aah tukakaza huku tunaambiana hao vipi kutuita ita hamna kuitika! Lahaulaaa kumbe tulipokua tunaelekea mbele hakuna njia inatokahiyo njia ilikua inaenda ishia nyumbani kwa mtu! Kufika mbele hatuoni njia yaan kwanza tulijikuta tunacheka na aibuu maana tutapita vipi pale na tumegoma kupokea salamu zao.
Ikabidi turudi na kukutana nao tena tukawasalimia kwa aibu yaan walitupa maneno kibao tukajikaza na kuwauliza njia wakatuelekeza tukaendelea na safari yetu.
Kiukweli tangia siku hiyo kiburi barabarani niliweka pembeni salamu za watu naitikia vema na kwa adabu.






kiranga chote kiliisha.Tulienda kwenye harusi,muda wa kufungua champagne Mc akatangaza anataka watu nane watu hakuna nikasema ngoja niende na mimi.
Jamani wote champagne zao zilifunguka faster mimi sasa nilijikuta mwenyewe mbele watu wananiangalia na chupa haijafunguka.Niliitikisa ile chupa kama chibuku.
Mpaka kuja kufunguka watu walishachoka kuniangalia,sherehe niliiona chungu sikunyanyuka tena mpaka muda wa kuondoka.









i can imagine, pole sana daah.
Umenikumbusha kitambooo nilienda kijijini kwenye harusi ya bro, siku ya harusi muda wa kufungua champagne wakatangaza watu waende me nikamute kwa kiti maana nilikua sijawah hata kuishika kufungua na sijui.
Kuna aunt tulitoka nae huku town akaniita akaniambia mwanangu njoo ufungue hii uwii nilitamani kukataa ila nakataaje na kila mtu kasikia nilivyoitwa!! Bana wee nikajikaza pale mbele nikamwambia kwa sauti ya chini aunt me sijawah kufungua hii akaniambia ni simpo usihofu we itikise af uwe unaniangalia mimi navyofungua.
Kweli nikapambana ila sasa kwenye kutoa kile kizibo badala ya kutolea kidole gumba me nikakivuta na vidole vyote huku nimeiface aisee ilifunguka ikanirukia usoniiii na kwenye nguo kidogo daah nilijiskia aibu sana nikajikaza nikaenda kumiminia wageni hivyo hivyo nikatafuta maji nikanawa nikatulia.









Kuna mshkaji wangu anaishi Kawe. Nishawahi kuishi kwao kwa zaidi ya mieizi miwili kwahiyo nazijua njia za maeneo hayo vizuri tu. Kisha nikaondoka Dar kwa zaidi ya mwaka nilivyorudi tena Dar nikawa naishi kwetu sasa nikapanga kwenda kumtembelea mshkaji.
Siku imefika nikafunga safari nikaelekea Kawe. Kipindi hicho wimbo maarufu ni Prakatatumba wa Cabo Snoop na nilivaa kama mshkaji. Supra, jinzi chupa (enzi hizo haziitwi model), halafu jinzi inaingizwa ndani ya supra na fulana nikachomekea.







Dah! 🤣🤣Ila
Ila Wewe dharau, ujuaji ni kawaida yako so sishangai, kwa hii post.
Huwa una comment dharau sana kwenye post za watu so ni kawaida yako ndio hivyo ulivyo.