Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,168
- 4,334
Asante..Itakuwa nzuri hongera sana
Asante..Itakuwa nzuri hongera sana
Sema kweli!Nimependa hapo mwishoni.. Wakaka kwenye mambo yetu wanatustiri sana..
Mimi mwenyewe Mwezi ulioisha nipo kwenye heka heka zangu.. nilikuwa nimevaa gauni..Kumbe kwa chini zipo imeachia ila juu haina shida.. Gauni zile za kuvaa na mkanda..
Mara ghafla sina hili wala lile nimeingia Duka moja ni Mkaka anauza.. Uzuri tulisalimiana vizuri tu.. ile naingia kugeuka akaniambia Dada hiyo gauni yako imeachia.. Kushika ilipoachia sasa.. Nilichoka.. ila Mkanda niliokuwa nimevaa ndiyo ulibana pasionekane kwa haraka..Kilichofuata ilikuwa kuangalia namna ya kuitengeneza.. Ila ile hali ilinikosesha raha nikijiuliza muda iliyoachia na watu ni wengi kiasi gani wameniona..
Sent using Jamii Forums mobile app

Msalimie PrettyAsante..
Ntamsalimia😊Msalimie Pretty
Pole Sana, inasumbua mno kisaikolojia unawaza wangapi wamekuona, unawaza underwear uliyovaa mtikisiko wa mwili nk,, ndo hivyo tuwasalimie tu kwa kuheshimiana ili walau kupunguza makali ya aibuNimependa hapo mwishoni.. Wakaka kwenye mambo yetu wanatustiri sana..
Mimi mwenyewe Mwezi ulioisha nipo kwenye heka heka zangu.. nilikuwa nimevaa gauni..Kumbe kwa chini zipo imeachia ila juu haina shida.. Gauni zile za kuvaa na mkanda..
Mara ghafla sina hili wala lile nimeingia Duka moja ni Mkaka anauza.. Uzuri tulisalimiana vizuri tu.. ile naingia kugeuka akaniambia Dada hiyo gauni yako imeachia.. Kushika ilipoachia sasa.. Nilichoka.. ila Mkanda niliokuwa nimevaa ndiyo ulibana pasionekane kwa haraka..Kilichofuata ilikuwa kuangalia namna ya kuitengeneza.. Ila ile hali ilinikosesha raha nikijiuliza muda iliyoachia na watu ni wengi kiasi gani wameniona..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi wana roho nzuri kutuzidi, tatizo ni kwenye papuchi na mioyo yetu tuNiliwahi piga mweleka kinondoni studio Sina hamu..walioniinua ni wakaka ambao sikuwaletea pozi waliponiongelesha wakati nasubiri gari..Ila kidogo nilie 😂
Unanicheka tena?Sema kweli!
Sasa jamani....
Yaaaaani acha tu.. Ahsante Dear.Pole Sana, inasumbua mno kisaikolojia unawaza wangapi wamekuona, unawaza underwear uliyovaa mtikisiko wa mwili nk,, ndo hivyo tuwasalimie tu kwa kuheshimiana ili walau kupunguza makali ya aibu
Ha ha ha...Ndo ujikute hujavaa pichu na zipu imeachia ebanaeeee,,,

Unajua shem, kuna kitu hapa naendelea kuwaza tu hata sijapata jibu

Hahaha na hili joto niwe mkweli pichu siivai hata nikiwa naenda mahangaikoni naweka tight tu km nguo ni nyepesi sasa sijui nitainamishaje kichwa hiki siku nikipata ajali ya namna hiyoHa ha ha...
Imagine hiyo siku ilikuwa inaonekana kabisa... Halafu akaniambia una bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua shem, kuna kitu hapa naendelea kuwaza tu hata sijapata jibu![]()

Ila hili joto limejua kutuadhibu jamani.. Wadada na Pichu ni paka na panyaHahaha na hili joto niwe mkweli pichu siivai hata nikiwa naenda mahangaikoni naweka tight tu km nguo ni nyepesi sasa sijui nitainamishaje kichwa hiki siku nikipata ajali ya namna hiyo

Ni mateso kuhangaikaIla hili joto limejua kutuadhibu jamani.. Wadada na Pichu ni paka na panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kuna dada mmoja ni wamakamo aliniambia nikanyonye nilimuwekea nadhiri nitamkaza siku aliyoingia 18 nilimkaza yule dada mpaka leo anakikumbuka kile ktomboUmenikumbusha zamani kuna mdada alikaa vibaya nikamfata kumwambia kama amekaa vibaya.(chupi inaonekana) kumkaribia namwita dada alifoka huyo nenda kanyonye huko unataka nitongoza nini?
Duh nikamwambia chupi nyekundu ulovaa watu wanaiona aliruka huyo.machali walibaki kumwambia papuchi yako inaonesha tamu. Baadhi ya wanawake wakiitwa akili zao wanaona wanataka kupewa mtongozo tu.
Lunatic![]()
Ahsante wa kwetuPole sana wakwetu..!