Vile mashauzi yalivyoniumbua

Vile mashauzi yalivyoniumbua

Niliwahi kua kwenye mahusiano na dada mmja Sasa ikawa kila nikienda kula mbususu nakuta hajavaa kyupi...siku moja nikamuuliza kwa nn huvaagi kyupi akanambia Kama ninataka avae kyupi Basi ahamie kwangu..! Nikauliza kwa nn? Akasema akivaa kyupi Sasa ule upande unaoshikilia mbususu isipotee akiguswa tu na hyo kyupi anataka mpini Mara moja Yani akivaa kyupi anakaa tyari tyari inalowa yenyewe tu.
Hvi kweli watu wa hvi wapo tofauti na huyu niliekutana nae au alikua na pepo?
Mh hii mpya kwangu Mimi,nakupenda mambo kote ila ya huyu imepitiliza labda alikutania tu,
 
Mi ni enzi hizo niko primary ila sijasahau hadi leo.

Nakumbuka nilikua nachapwa sana ishu ya kutochomekea shati. Asubuhi moja nikaona ili kusolve tatizo acha nichomekee kwenye chupi, hizi za zamani ambazo mnati wake pale kiunoni unakaza kinoma.
Sasa bwana kumbe kaptula imeshuka kitambo na watu wanakaona kachupi kangu kitambo sana na hawaniambii wanaishia kucheka tu, nikaja kuambiwa baadaee na dada flani kua wewe chomekea viziri, daah kucheki chupi limepanda juu na kaptula imeshuka na sikuhisi kitu mda wote na mda ananambia tulikua assemble aisee niliumbuka atari.
Nilivyo nachukia aibu Mimi jamani..
 
Kipindi niko chuo kuna siku nilienda hostel kumcheki demu flani, ile nakaribia nikaona kundi kubwa la mademu wamekaa wanapiga stori zao hawana habari kati yao kulikua na mtoto mmoja namuelewa kinoma, sasa ile nakaribia kulikua na kidimbwi kidogo mvua ilikua imetoka kunyesha nikaleta pigo za kiblazmen natembea kwa swagga ile naruka kile kidimbwi niliteleza nikapiga bonge la mweleka nikagalagala kwenye yale maji nguo zote zimejaa tope, nilitamani kulia nilishindwa hata kuinuka pale chini wale mademu wengine wakaangua kicheko siwalaumu hata ningekua mimi ningecheka kwa jinsi nilivyoanguaka, wengine wakanipa pole wengine wakaja kunisaidia kuinuka yaani ile siku sitaisahau nilidhalilika sana nikikumbuka huwa najicheka nilivoanguka kama mnazi
 
Juzi nimegoma kulipa nauli ndani ya gari kwa kigezo kuwa nalipa nauli mwisho wa safari...nikazinguana na konda mwisho wa siku kwakuwa gari ni nyingi ikabidi nishuke....ile wakati nashuka nikasikia abiria wananiita ...weweeee,wewe kaka unaitwa na dada huku ndani ya gari..ikabidi niitikie wito kufika pale kwenye gari dada simfahamu ila ananiambia nipande atanilipia au nitamrudishia mbele huko tukifika....

Nikamwambia pesa ninayo ila mimi nakataa kulipa nauli mwanzo wa safari kuepuka manyanyaso ya makondakta...mwamba nikaondoka huku yule dada na wale abiria wakiniangalia kwa huzuni sana...sielewi ni kipi kilijijenga kwenye vichwa vyao....
 
Tulienda kwenye harusi,muda wa kufungua champagne Mc akatangaza anataka watu nane watu hakuna nikasema ngoja niende na mimi.

Jamani wote champagne zao zilifunguka faster mimi sasa nilijikuta mwenyewe mbele watu wananiangalia na chupa haijafunguka.Niliitikisa ile chupa kama chibuku.

Mpaka kuja kufunguka watu walishachoka kuniangalia,sherehe niliiona chungu sikunyanyuka tena mpaka muda wa kuondoka.
Kwa hiyo hata chakula ulikikataa, au uliomba msaada kwenye tuta!
 
Nakumbuka siku moja naenda kazini daladala za Kibaha kutokea Ubungo- 2010.
Ilikuwa ni vile vi-hice, mdada mmoja alikaa mbele yetu tulimkuta kwenye gari, tukafika Maili moja yule dada ikawa ndo mwisho wake wa safari akanyanyuka kushuka, alikuwa mrefu kiasi ikabidi ainame kidogo ili apite akashuke, aisee sketi zipu ilishuka kidogo na sketi yenyewe alikuwa hajafunga lock yake, tulichikiona ni pant imechoka na shanga nyingi. tulikaa na jamaa mmoja lile tukio lilituhuzunisha sana, hadi tukashika midomo kwa butwaa, cha kushangaza wanawake wenzake walicheka vibaya sana.

Ilinipa fundisho sana, nilipooa, nilihakikisha mke wangu hapati fedheha kama ile, nahakikisha anachokivaa kinakuwa perfect kabla ya kutoka nyumbani, nakifanya hicho toka 2016 mpaka leo na sitaacha, hata nikiwa nimesafiri sipo nyumbani lazima nimkumbushe.
 
Kuna mshkaji wangu anaishi Kawe. Nishawahi kuishi kwao kwa zaidi ya mieizi miwili kwahiyo nazijua njia za maeneo hayo vizuri tu. Kisha nikaondoka Dar kwa zaidi ya mwaka nilivyorudi tena Dar nikawa naishi kwetu sasa nikapanga kwenda kumtembelea mshkaji.
 
Nilipita mtaa mmoja hivi Kuna mdada alikuwa amevaa kiahasara alivaa t shirt kubwa sijui ndio gauni limefika magotini ndani hakukuwa na dalili ya kuvaa pichu basi kalibia kila mtu alikuwa anamshangaa na Mimi nikashiriki maandamano nikaungana nao kumuangalia .....hatua kadha nikajikwaa bhana na sendo ikakatika Kuna jamaa akaropoka "....jamaa Hadi sendo yake imekatika" waliosikia wakaningalia wakaanza kucheka ndani ya sekunde kadhaa wote wakawa wananiangalia Mimi . Ile siku nilijisikia aibu Sana
 
Ila
Kwa mlioko Dar, Poleni kwa mgao wa kuanzia maji, umeme mpaka mapenzi, ila ndugu zangu tutafika kwa Baba tuko hoi sana maskiini, imagine duniani tunateseka hivii na bado huko naskia kuna moto tena..! Nyieeeeeeh'..!
Ila Wewe dharau, ujuaji ni kawaida yako so sishangai, kwa hii post.
Huwa una comment dharau sana kwenye post za watu so ni kawaida yako ndio hivyo ulivyo.
 
Ila

Ila Wewe dharau, ujuaji ni kawaida yako so sishangai, kwa hii post.
Huwa una comment dharau sana kwenye post za watu so ni kawaida yako ndio hivyo ulivyo.
Sweetheart,
Pole maskiini..!!
 
😂😂😂Hii ya huyu mwenzetu umewahi kukutana nayo wapi ya kunyegeleshwa na pichu😲
Hahahhaaa..
Nimewaza vile imguse mbele za watu aanze kupiga kelele, walaqhi' walaqhi'...!
 
😂😂😂😂Ila sijui unawazaga nini we mtu, umenifurahisha Sana, hata sipati picha aisee
😂 😂 😂 😂 😂
Nilichotaka niandike hapa dunia ingesimama...! Nitakutumia inbox.!
 
Back
Top Bottom