Amezingua sana.😂😂😂😂
Hivi kweli katika vitu vya kunifananisha navyo ndiyo ije kuwa Bia yetu??? Si bora tu mninyonge..!
Kwanini unajizuia mkuu?Hii akili ipo
"Mwanaume akimsimamisha mwanamke njiani akili yake ya kwanza inajua unataka kumtongoza.
Mwanaume ukisimamishwa na mwanamke njiani unahisi huyu ana shida"
Katika harakati zangu huwa najizuia saana kuzungumza na mwanamke nisiyemfahamu.
Mtumishi mwenzetu Saint Anne anaielewa sana kijani.Haahhahhahaaa..!
gademt..!
Kitendo tu cha kunifananisha na rangi yoyote ya kijani kwanza kabisa nasimama nacho kinyume.!!
usinambie, walaqhi tena.??? Mdogo wangu si angeshabikia tu hata TLP huko jamani.!!Mtumishi mwenzetu Saint Anne anaielewa sana kijani.
Sijui ile rangi ya mboga mboga huwa anaipendea nini.
Pep naona leo umeamua kunichana baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtumishi mwenzetu Saint Anne anaielewa sana kijani.
Sijui ile rangi ya mboga mboga huwa anaipendea nini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usinambie, walaqhi tena.??? Mdogo wangu si angeshabikia tu hata TLP huko jamani.!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi kweli katika vitu vya kunifananisha navyo ndiyo ije kuwa Bia yetu??? Si bora tu mninyonge..!
Embu kaa na mdogo wako chini aisee.usinambie, walaqhi tena.??? Mdogo wangu si angeshabikia tu hata TLP huko jamani.!!
Hata CWT? (Chama cha Watumishi Tanzania)Pep naona leo umeamua kunichana baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usichokijua baba ni kuwa mimi nilikuwa namshabikia mtu na si chama.
Sasa hivi wote tupo kuupiga mwingi kama mama.
NB: Sina mawazo ya kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania[emoji6]
Dah Pep[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Embu kaa na mdogo wako chini aisee.
Kijani kibichi sio mambo ati
Kama anavuta mkwanja pale lumumba sisi watumishi hatukosi connection nyingine ya kumpa.
Namaanisha chama cha siasa chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata CWT? (Chama cha Watumishi Tanzania)
Mazoezi muhimuNiliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Nimekusemea kwa dadakoDah Pep[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Basi baba nimekuelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo umeniamulia[emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Nimekusemea kwa dadako
Atakunyoosha baraabara
Sipati Picha[emoji1783][emoji1783][emoji1783], na Watu wanavyojua kumuangali Mtu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app