Kumbe mna roho mbaya hadi wenye kwa wenyewe mie nilijuaga roho mbaya kwetu tuu wanaumePole mkuu, Kuna harusi nilihudhuria miezi 2 iliyopita, sasa MC kaita mdada aliyependeza akafungue champagne,, mara paap kanyanyuka mdada na mashauzi kama yote, alikuwa kashaanza kulewa, sasa kumbe alilowana km Ni hivi obviously alienda toilet akajiswafi na vuzi lake maji yakalowesha au
