falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
Chama changu CCM sasa mnacheza ngoma ya UKAWA, mkubali, mkatae!
Kasi ya kumnandi mteule MAGUFULI imepungua kwa asilimia kubwa sana!
kasi imepungua bila matakwa yao
Chama changu CCM sasa mnacheza ngoma ya UKAWA, mkubali, mkatae!
Kasi ya kumnandi mteule MAGUFULI imepungua kwa asilimia kubwa sana!
bajeti ya nchi for only a single person ? ccm stop stupidity
Kkkkkk ama kweli watanzania au niseme JF tumekuwa watu wa ajabu sana. Wewe unaijua badget ya Tanzania ya mwaka ni ngapi na kwa nini apewe Dr SLAA, na mbona unamkebehi SLAA hivyo, umemuona Ana njaa kama MBOWE. Slaa kwa mambo ya siasa na fedha ni mtu wa principals, yeye ugonjwa wake ni wanawake na hiyo keshampata wa kuishi nae.
Wakati wa kumnadi Magufuli haujafika. Unawashwa na nini? Subiri wakati wa kampeni.Chama changu CCM sasa mnacheza ngoma ya UKAWA, mkubali, mkatae!
Kasi ya kumnandi mteule MAGUFULI imepungua kwa asilimia kubwa sana!
Chama changu CCM sasa mnacheza ngoma ya UKAWA, mkubali, mkatae!
Kasi ya kumnandi mteule MAGUFULI imepungua kwa asilimia kubwa sana!
Mbona Unanung'unika hivyo wewe, Enh Kwani wewe Unashing Ngapi? Sitini na sita elfu na mia tano? Ndorobwe...wacha CCM Wamsajili Christiano Ronaldo kwa Bei Yoyo yoyote... Siasa ni Game.. na watu wanasomea pia...
Ni kweli.
Hali hii Sio njema kwa ccm.
Nawapa pole sana.
Wamuombe radhi tuh lowasa yaishe.
Chama changu CCM sasa mnacheza ngoma ya UKAWA, mkubali, mkatae!
Kasi ya kumnandi mteule MAGUFULI imepungua kwa asilimia kubwa sana!
Wakati wa kumnadi Magufuli haujafika. Unawashwa na nini? Subiri wakati wa kampeni.
Wakati wa kumnadi Magufuli haujafika. Unawashwa na nini? Subiri wakati wa kampeni.
Chadema hawawezi kukurupuka kiasi hicho wakioyafanya ni sahihi ccm walimwaga mboga wenyewe sasa ngoja Lowassa amwage ugali na kutoboa masufuria ya kupikia ccm