Vikao vinaendelea ikulu muda huu

Vikao vinaendelea ikulu muda huu

Status
Not open for further replies.
Taifa wala halipiti kwenye wakati mgumu wowote,sisiem ndo wanapita kwenye huo wakati mgumu mkuu
 
CCM MAJI YA SHINGO
Sasa ni wazi ccm wameamuwa kuhakikisha kuwa slaa anaondoka cdm,habari nilizozipata muda huu nikuwa jk kaitisha mkutano wa dharura muda huu kujadili namna ya kujinasuwa na upinzani unaonekana kuwa tishio kwa magufuli.habari zaid zinasema imeamriwa hata itumike hata bajeti nzima ya nchi ili dr slaa apewe ili mradi aitose chadema,dr anapita kwenye majaribu makubwa sna muda hu

Hakuna haja ya vikao Ikulu, CHADEMA si wamoja tena and technically the party has dissolved. Maana sasa tunasikia ya CHADEMA Asilia vs CHADEMA Lowassa na October ipo mlangoni. Shughuli imekwisha hii tayari!!!
 
Mleta uzi habari za ikulu umezipata wapi? Umesema kikao kinaendelea bado, inakuwaje wewe uje na azimio la kikao ilihali hakijaisha? Jifunze kudanganya na kwa taarifa yako na wengine wa aina yako ni kuwa ulichopost hapa ni kinyume cha sheria kwani umeingilia kazi isiyokuhusu (trace passing) na adhabu yake ipo kisheria. Sidhani kama utabaki salama kwa hili kwani unachochea vurugu na uvunjivu wa amani. Andaa nauli ya kutokomea kabla hawajakutia mikononi.
 
Kazi IPO ngoja nitazame kadi yangu nilipoiweka isije ikaibwaaa
 
Hizi ni propoganda za watu wa ccm kwani wanajaribu kuwadanganya watu mambo yasiyo na msingi
 
Ee Mungu tuepushe na pepo linalotunyonya liitwalo CCM....Amen
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom