CCM MAJI YA SHINGO
Sasa ni wazi ccm wameamuwa kuhakikisha kuwa slaa anaondoka cdm,habari nilizozipata muda huu nikuwa jk kaitisha mkutano wa dharura muda huu kujadili namna ya kujinasuwa na upinzani unaonekana kuwa tishio kwa magufuli.habari zaid zinasema imeamriwa hata itumike hata bajeti nzima ya nchi ili dr slaa apewe ili mradi aitose chadema,dr anapita kwenye majaribu makubwa sna muda hu
hahahahaha poleni sana ccm hapo mnaweza kupotea zaidi kwani atawamaliza