Vikao vinaendelea ikulu muda huu

Vikao vinaendelea ikulu muda huu

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
CCM MAJI YA SHINGO
Sasa ni wazi ccm wameamuwa kuhakikisha kuwa slaa anaondoka cdm,habari nilizozipata muda huu nikuwa jk kaitisha mkutano wa dharura muda huu kujadili namna ya kujinasuwa na upinzani unaonekana kuwa tishio kwa magufuli.habari zaid zinasema imeamriwa hata itumike hata bajeti nzima ya nchi ili dr slaa apewe ili mradi aitose chadema,dr anapita kwenye majaribu makubwa sna muda hu
 
tutajua true color za viongozi time will tell
Taifa linapitia wakati mgumu sana na
hii hali ni kumuomba MUNGU atunusuru
na Machafuko yeyote yale
 
Habari ni UKAWA, CHADEMA sijui CUF ni baadaye saaaaana.

Sasa hapa maana yake ni kuwa aondoke Mbowe, aondoke Slaa, aliondoka Zitto, aondoke ..... Chadema kwanza.

Ohhh, hata Chadema iondoke, hatujali sana. Hapa mambo ni UKAWA. UKAWA FOR LIFE.

Done+Deal-UKAWA+Vs+Lowasa.jpg
 
jukwa hili linaheshimiwa sana. lakini watu wameanza kuleta yasiyokuwa na mashiko. kikao kiitishwe ikulu na maamuzi yawe wazi kiasi hiki. siyo tabia ya ikulu yoyote duniani, achilia mbali ikulu ya bongo. Silaa mwenyewe kisha sema hatoki chadema na maamuzi ya manywele alishiriki kikamilifu na magwiji wote wa siasa za chadema. tutafute lingine, siyo kujaza server na upuuzi kama huu
 
CCM MAJI YA SHINGO
Sasa ni wazi ccm wameamuwa kuhakikisha kuwa slaa anaondoka cdm,habari nilizozipata muda huu nikuwa jk kaitisha mkutano wa dharura muda huu kujadili namna ya kujinasuwa na upinzani unaonekana kuwa tishio kwa magufuli.habari zaid zinasema imeamriwa hata itumike hata bajeti nzima ya nchi ili dr slaa apewe ili mradi aitose chadema,dr anapita kwenye majaribu makubwa sna muda hu

Umbea Wa kitoto! Bs
 
Nitakua wa mwisho kuamini hili.Bajeti ya nchi?Maana yake Dr slaa apewe trillion zaidi ya 20 nitakua wa mwisho kuamini hili.
 
Kkkkkk ama kweli watanzania au niseme JF tumekuwa watu wa ajabu sana. Wewe unaijua badget ya Tanzania ya mwaka ni ngapi na kwa nini apewe Dr SLAA, na mbona unamkebehi SLAA hivyo, umemuona Ana njaa kama MBOWE. Slaa kwa mambo ya siasa na fedha ni mtu wa principals, yeye ugonjwa wake ni wanawake na hiyo keshampata wa kuishi nae.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom